Fika kwenye wavuti Hakimiliki Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa. Je, una hakika unataka kusanidua Chromium? Je, unataka Chromium ihifadhi maelezo haya ya kadi ya mkopo ya kukamilisha fomu za wavuti? Sanidua Chromium Hivi karibuni kompyuta hii itaacha kupokea sasisho za Chromium kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena. Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30. Zindua programu za Chromium Kizinduzi cha Programu ya Chromium ni mfumo wa pekee wa programu za Chromium. Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe: Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua upya Chromium. Chromium imepitwa na wakati Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chromium. Unatazama ukurasa salama wa Chromium. Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana Mapendeleo yako hayawezi kusomwa. Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa. Dhibiti na ugeuze Chromium ikufae Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio nyingine itahusishwa na kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kwa hiari kuunda wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chromium iliyo kando. Asante kwa kujaribu Chromium mpya. Chromium inahitaji kuzima na kuwaka tena kuhakikisha kuwa umehifadhi kazi yoyote iliyo wazi kabla ya kuendelea. Sasisha Chromium OS Chromium inahitaji Windows XP au toleo la awali. Huenda vipengele vingine visifanye kazi. Lazima upate toleo jipya la Chrome ili utumie Google Wallet []. Leseni za programu huria kwenye Chromium Iwapo unapendelea kutenganisha data yako iliyopo ya Chromium, unaweza kuingiza mtumiaji mpya wa Chromium kwa . Weka Chromium kuwa kivinjari chako chaguo-msingi Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha ... Anza kutumia Chromium OS Baada ya kuondoa akaunti yako kwenye Chromium, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi. Upauzana wa Chromium Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena. Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Hiari: Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma takwimu za matumizi na ripoti za uharibifu kiotomatiki kwa Google. Nenda kwenye menyu ya Chromium > > > na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye "hakuna proksi" au "moja kwa moja." - Chromium Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako. Ulijaribu kufika <strong></strong>, lakini cheti ambacho seva iliwasilisha kina hitilafu. Chromium haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuhalalisha utambulisho wa tovuti ambayo umejaribu kuunganisha. Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena. Hakuna usakinishi wa Chromium uliopatikana kusasishwa. Acha Chromium Iendelee Katika Madnarinyuma Programu za Chromium Ndiyo, ondoka Chromium Ijaribu, tayari imesakinishwa Inaongeza kwenye Chromium... Sakinusha Kizinduzi cha Programu ya Chromium Sasa umeingia kwenye Chromium! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako. Ilani: Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, ondoa tiki kwenye chaguo hili. Waandishi wa Chromium Chromium haijumuishi kitazamaji cha PDF kinachohitajika ili Uhakiki wa Uchapishaji ufanye kazi. Huenda Chromium ikatumia huduma za wavuti kuboresha utumizi wako wa kuvinjari. Jaribu njia mpya ya kutumia Chromium pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta a kutumia pamoja na wengine. Cha kusikitisha, mipangilio yako ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kinapoendesha. Ili kuleta mipangilio hiyo kwenye Chromium, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea. Katika hali hii, anwani iliyoorodheshwa katika cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda kwacho. Sababu moja inayowezekana kwa jambo hili ni kwamba mawasiliano yako yanakatizwa na mshambulizi anayewasilisha cheti cha tovuti tofauti, kinachoweza kusababisha kutolingana. Sabau nyingine inayowezekana ni kuwa seva imesanidiwa kurejesha cheti kicho hicho kwenye tovuti mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ile unayojaribu kutembelea, hata ingawa cheti hicho si halali kwa tovuti hizo zote. Chromium inaweza kusema kuwa kwa kweli ulifika <strong></strong>, lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na <strong></strong> uliyonuia kufikia. Ukiendelea, Chromium haitakagua kutolingana kokote zaidi kwa jina. Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kusakinisha Chromium tena mwenyewe. Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapobofya kitufe cha Mwanzo. Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Chromium. Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa? Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na kwenda Google Wavuti, alamisho, na mambo yako mengine ya Chromium yanapatikana hapa. Kifaa chako kimesasishwa. Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha. Je, unataka Chromium ihifadhi nenosiri lako la tovuti hii? Dirisha jipya Nenda kwenye menyu ya Chromium > > na uondoe tiki kwenye "." Iwapo hii haitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena chaguo hili kwa utendaji ulioboreshwa. Chromium - Arifa ( hazijasomwa) Karibu Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kupata toleo jipya la Chromium. Msimamizi amesakinisha Chromium kwenye mfumo, na inapatikana kwa watumiaji wote. Chromium ya kiwango cha mfumo itabadilisha usakinishaji wa kiwango cha mtumiaji sasa. http://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena. Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na uizindue upya Chromium ili mabadiliko haya yaanze kufanya kazi. Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium. inaweza kudhuru hali yako ya kuvinjari, kwa hivyo Chromium imeizuia. Faili hili ni hasidi, na Chromium imeizuia. Vipengee vilivyopakiwa kwenye Chromium Kwenye Mac, manenosiri yanahifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chrome wanaoshiriki akaunti hii ya OS X. Umejaribu kufikia <strong> </ strong>, lakini seva ikawasilisha cheti kilichotolewa na chombo ambacho mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako haukiamini. Hii inaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambayo Chromium haiwezi kutegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kuingilia mawasiliano yako. Unapaswa kuwa umeingia katika akaunti ya Chromium ili utumie programu hizi. Hii inaruhusu Chromium kusawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine katika vifaa vyote. Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa Sasisha Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali isanidue na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa. Fungua Chromium kiotomatiki kompyuta yako inapowashwa Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chromium jinsi wapendavyo. Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali. Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yamemalizika muda. Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Chromium () kwenye kompyuta nyingine (). Chromium imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inatumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue tena Chromium. Ondoa kwenye Chromium Jiongeze kwenye Chrome Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia kusawazisha. Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu. Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data: Unaweza kusaidia kuifanya Chromium salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki. Inasasisha kifaa chako... Ondoa Pata msaada kwa kutumia Chromium Unaingia katika akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio miingine itahusishwa na kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Kizinduzi cha Programu ya Chromium Chromium Imepitwa na Wakati Futa historia yako ya kuvinjari pia? huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Chromium OS. Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Window 8) na ujaribu tena. Sasisha &Chromium Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta. Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa. Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu. Programu unayotumia kwenye kompyuta haioani na Chromium. Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma Ingia kwenye Chromium Chromium imerahisishwa na mradi wa programu huria ya Chromium na programu nyingine huria. Chromium (mDNS-In) Walioalikwa wanaweza kutumia Chromium bila kuacha kitu chochote nyuma. Tovuti hii inatumia programu jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali isanidue na upakue kivinjari kinachooana. Kiendelezi kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium. Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika. Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi Chromium inatumia kamera yako. Chromium Chromium OS Usinisumbue Chromium itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo ya siku za usoni. Kuripoti uharibifu hakupatikana katika Chromium. Haitumiki katika Chromium. Kishika nafasi cha kuweka ramani za raslimali zikiwa zimesawazishwa. Inatarajia hoja moja: $1. Chromium inaendelea chini chini. Uliingia kwenye Chromium kama . Tafadhali tumia akaunti hiyo hiyo kuingia tena. Chromium imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji. Chungulia Chromium mpya Inasasisha Chromium... Kidhibiti cha Shughuli - Chromium Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako. Pata alamisho zako katika menyu ya Chromium au kwenye upau wa alamisho. Inakaribia kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili kukamilisha kusasisha. Unaweza kuongeza Akaunti zako zingine za Google na ufunge Chromium yako hapa chini. Usakinishi tatanishi wa Chromium ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali uondoe na ujaribu tena. Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana. Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji ilitokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena. imeongezwa kwenye Chromium. Nenda kwenye menyu ya Chromium > > > > Mipangilio ya LAN na uondoe tiki "Tumia seva ya proksi kwa kikasha kaguzi chako cha LAN". Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena. Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium. Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium. Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili. Ongeza kwenye Chromium Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chromium pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa. Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Chromium na ujaribu tena. Chromium haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji. Pata msaada unapotumia Chromium OS Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti. Nenda kwenye Programu > Mapendeleo ya Mfumo > Mtandao > Uboreshaji > Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa. ni hasidi, na Chromium imeizuia. Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chromium. Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako. Kituo cha Chromium cha Taarifa Chromium haikuzimika vizuri. Ili kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha. Imependekezwa na Chromium Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa? Umeingia kwenye Chromium! Leseni za programu huria kwenye Chromium OS Chromium inahitaji kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoombwa ni . Je, unataka Chrome ihifadhi nenosiri lako? Onyesha menyu ya Chromium Unatumia kusawazisha vitu vyako vya Chromium. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chromium bila akaunti ya Google, tembelea . (inahitaji uanzishaji upya wa Chromium) Sanidi Usawazishaji ili uhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Chromium katika kompyuta yoyote Kivinjari Wavuti Ruhusu Chromium ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi. Chromium imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana. Kompyuta hii haitapokea tena sasisho za Chromium kwa sababu maunzi yake hayatumiki tena. Kuhusu Chromium Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena. Bofya jina lako ili ufungue Chromium na uanze kuvinjari. Chromium inatumia maikrofoni yako. Ulijaribu kufikia <strong> </ strong>, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho muda wake umeisha. Hakuna maelezo yanayopatikana kuonyesha ikiwa cheti hicho kimetumiwa vibaya tangu muda wake wa kutumika kuisha. Hii inamaana kuwa Chromium haiwezi kuthibitisha kuwa unawasiliana na <strong> </ strong> na wala si mshambulizi. Saa ya kompyuta yako kwa sasa imewekwa kwenye . Je, iko sawa? Ikiwa haiko, unapaswa kurekebisha hitilafu na uonyeshe ukurasa huu upya. Ni kwa kwa nini ninaona hii? Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chromium Umeingia katika akaunti kama . Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti. Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena. Chromium si kivinjari chako chaguo-msingi. Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi. Chromium inatumia kamera na maikrofoni yako. Unaweza kuona arifa zako zote kutoka kwa programu za Chromium, viendelezi, na tovuti hapa. Kuhusu Chromium OS Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium. Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype. Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Chromium na kughairi upakuaji? Chromium haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitalafu ya kuingia katika akaunti. Sheria ya ndani ya Chromium ili kuruhusu trafiki ya mDNS. Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako. Chromium Binaries Awali kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii kama . Iwapo hiyo si akaunti yako, fungua mtumiaji mwengine wa Chromium ili utenge maelezo yako. Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chromium kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye . Kuna maudhui yanayopakuliwa sasa. Ungependa kuondoka kwenye Chromium na ughairi vipakuliwa? Chromium inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au zaidi. Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Chromium. Hii ni Chromium yako Saidia ili kuiboresha Chromium Chromium imesasishwa. Kompyuta hii tayari ina toleo jipya la hivi karibuni zaidi la vijenzi vya Chromium. Tafadhali tumia kisakinishi cha hivi karibuni zaidi. Ulijaribu kufikia <strong> </ strong>, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho bado si halali. Hakuna maelezo ya kuashiria ikiwa cheti hicho kinaweza kuaminika. Chromium haiwezi kutoa hakikisho kwamba unawasiliana na <strong> </ strong> wala sio mshambulizi. Saa ya kompyuta yako ya kwa sasa imewekwa . Je, hilo ni sahihi? Ikiwa sivyo, unapaswa kusahihisha mfumo wako wa saa na kisha uonyeshe upya ukurasa huu. Karibu kwenye Chromium Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili. Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako. Unachungulia Chromium mpya. Kuondoa kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chromium zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye Dashibodi ya Google. Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium. Ulijaribu kufikia <strong> </ strong>, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na huluki asiyeaminika na Chromium. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambayo Chromium haiwezi kutegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako. Ungependa kuunganisha data yako ya Chromium kwenye akaunti hii? Kisaidizi cha Chromium Chromium imeboreshwa Chromium imesanidiwa ili kuanza moja kwa moja unapowasha kompyuta yako. Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za programu huria. Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chromium. Data yako kwenye Chromium, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine. Unganisha data yangu ya Chromium kwenye akaunti hii Sakinisha Chromium Upya Chromium OS haihimili kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoombwa ni . Funguo za Google API zinakosekana. Utendaji fulani wa Chromium utazimwa. Chromium - Arifa Hifadhi maelezo katika Chromium