Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.
Chromium haikuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli siri yako ya Usawazishaji.
Ungependa kushiriki kompyuta? Sasa unaweza kusanidi Chromium kama tu unavyoipenda.
Kuhusu Chromium
Chromium OS haihimili kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoombwa ni .
Usakinishi tatanishi wa Chromium ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali uondoe na ujaribu tena.
Pata msaada unapotumia Chromium OS
Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri.
Matoleo ya siku za usoni ya Chromium hayatatumia tena Mac OS X 10.6, 10.7, au 10.8.
Umeingia kwenye Chromium!
Leseni za programu huria kwenye Chromium
Ijaribu, tayari imesakinishwa
Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.
Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Mac OS X 10.6, 10.7, au 10.8.
Chromium itahifadhi nenosiri hili katika na kulikumbuka wakati ujao utakapolihitaji.
Baada ya kuondoa akaunti yako kwenye Chromium, huenda ukahitajika kupakia upya vichupo vyako vilivyo wazi ili kuanza kufanya kazi.
Sanidi Usawazishaji ili uhifadhi vipengele vyako vya kivinjari vilivyobinafsishwa kwenye mtandao na uvifikie kutoka Chromium katika kompyuta yoyote
Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium (pamoja na yaliyo kwenye modi ya Window 8) na ujaribu tena.
Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.
inaweza kudhuru hali yako ya kuvinjari, kwa hivyo Chromium imeizuia.
Chromium itahifadhi kwa usalama maelezo yako ili usihitaji kuyachapa tena, lakini bado utahitaji kudhibitisha msimbo wa usalama wa kadi yako kwa malipo ya siku za usoni.
Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma
Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima baadhi ya viendelezi ambavyo havijaorodheshwa katika na ambavyo huendwa viliongezwa pasipo ridhaa yako.
Sakinisha Chromium Upya
Chromium inahitaji idhini ya kufikia mahali ili ipashiriki na tovuti hii.
Unaweza kusaidia kuifanya Chromium salama na rahisi zaidi kutumia kwa kuripoti maelezo ya uwezekano wa matukio yasiyo salama kwa Google kiotomatiki.
Unaingia katika akaunti ukitumia akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio nyingine itahusishwa na kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine. Unaweza kwa hiari kuunda wasifu mpya ili kuweka data yako ya Chromium iliyo kando.
Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa?
Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Chromium.
Tumia uongezaji kasi wa maunzi wakati unapatikana
Chromium ilithibitisha kuwa ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo ya Cheti cha Uwazi, lakini hayakuwa sahihi.
Kuhusu Chromium OS
Leseni za programu huria kwenye Chromium OS
Kama unatumia kompyuta pamoja na wengine, marafiki na familia wanaweza kuvinjari tofauti na kusanidi Chromium jinsi wapendavyo.
Karibu
La, asante
Kiendelezi hiki kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.
Huenda Chromium ya 32-bit haitafanya kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye mfumo wa Linux. Tafadhali pata toleo jipya la Chromium la 64-bit.
{NUM_DOWNLOAD,plural, =1{Kipakuliwa kinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi kipakuliwa na kuondoka Chromium?}other{Vipakuliwa # vinaendelea kwa sasa. Unataka kughairi vipakuliwa na kuondoka Chromium?}}
Kiendelezi hiki "" kimebadilisha ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.
Ondoa
Huenda Chromium isifanye kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye Windows XP au Windows Vista.
Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.
Tovuti hii inatumia programu-jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali iondoe na upate toleo jipya la kivinjari cha kisasa.
Kisaidizi cha Chromium
Chromium - Arifa
Chromium inahitaji idhini ya kufikia kamera ili iishiriki na tovuti hii.
Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena.
Inakaribia kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili kukamilisha kusasisha.
Chromium imekoma kusasisha na haiwezi kutumiwa tena na toleo hili la mfumo wako wa uendeshaji.
Tovuti hii inatumia programu-jalizi ya Fremu ya Chromium ambayo haitaweza kutumika hivi karibuni. Tafadhali iondoe na upakue kivinjari kinachooana.
Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:
ni hasidi, na Chromium imeizuia.
Ondoa kwenye Chromium...
Si lazima: Saidia kuboresha Chromium kwa kutumia Google takwimu za matumizi na ripoti wakati wowote huduma hii inapoacha kufanya kazi.
Kuhusu Chromium
Chromium inahitaji kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoombwa ni .
Inaongeza kwenye Chromium...
Unapaswa kuwa umeingia katika akaunti ya Chromium ili utumie programu hizi. Hii inaruhusu Chromium kusawazisha programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine katika vifaa vyote.
Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma ripoti za kuacha kufanya kazi na kwenda Google
Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena.
Chromium inatumia maikrofoni yako.
Unaingia kwa kutumia akaunti inayodhibitiwa na kutoa ruhusa msimamizi wake adhibiti wasifu wako kwenye Chromium. Data yako kwenye Chromium, kama vile programu, alamisho, historia, manenosiri yako, na mipangilio mingine itasalia kabisa kwenye . Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti ya Google, lakini hutaweza kuhusisha data hii na akaunti nyingine.
Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa?
Kifaa chako kimesasishwa.
Kituo cha Chromium cha Taarifa
Imenakiliwa kwenye Chromium
Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:
Funguo za Google API zinakosekana. Utendaji fulani wa Chromium utazimwa.
Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa
Chromium imegundua tabia isiyo ya kawaida
Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako kutokana na hitilafu wakati wa kuingia katika akaunti.
Chromium Binaries
Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena.
Ondoa Kwenye Chromium...
Anza kutumia Chromium OS
Inasasisha Chromium...
Nembo ya Chromium
Gusa ili Utafute
Unatazama ukurasa salama wa Chromium.
Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype.
- Chromium
Cha kusikitisha, mipangilio yako ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kinapoendesha. Ili kuleta mipangilio hiyo kwenye Chromium, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.
Tumia nenosiri lililozalishwa na Chromium
Bofya jina lako ili ufungue Chromium na uanze kuvinjari.
Kwenye Mac, manenosiri yanaweza kuhifadhiwa kwenye Msururu wako wa kitufe na yanaweza kufikiwa au kusawazishwa na watumiaji wengine wa Chromium wanaoshiriki akaunti hii ya OS X.
Maboresho muhimu ya usalama na vipengele vipya vinapatikana katika toleo jipya.
Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na uizindue upya Chromium ili mabadiliko haya yaanze kufanya kazi.
Ilani: Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kuzima kiendelezi hiki katika hali fiche, ondoa tiki kwenye chaguo hili.
Gundua programu, michezo, viendelezi na mandhari bora ya Chromium.
Sasa umeingia kwenye Chromium! Usawazishaji umezimwa na msimamizi wako.
Chromium imesasishwa.
Ungependa kuunganisha data yako ya Chromium kwenye akaunti hii?
Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.
Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Chromium.
Dhibiti na ugeuze Chromium ikufae
Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.
Maelezo yako ya utozwaji yamehifadhiwa katika Chromium.
Matoleo ya siku za usoni ya Chromium hayatatumia tena Windows XP au Windows Vista.
Umeingia katika akaunti kama . Sasa unaweza kupata alamisho, historia, na mipangilio yako mingine kwenye vifaa vyako vyote vilivyoingia katika akaunti.
Maelezo muhimu kuhusu data yako ya Chromium
Programu za Chromium
Wasifu unaonekana kuwa unatumika na mchakato mwingine wa Chromium () kwenye kompyuta nyingine (). Chromium imefunga wasifu huu ili usifisidiwe. Kama una uhakika hakuna michakato mingine inatumia wasifu huu, unaweza kufungua wasifu na uzindue tena Chromium.
Kubali na Utafute
Sheria ya ndani ya Chromium ili kuruhusu trafiki ya mDNS.
Chromium iko katika hali ya chini chini.
Walioalikwa wanaweza kutumia Chromium bila kuacha kitu chochote nyuma.
Jiongeze kwenye Chrome
Hifadhi maelezo katika Chromium
Unaingia katika akaunti inayodhibitiwa na kumpa msimamizi wa akaunti hiyo udhibiti wa wasifu wako kwenye Chromium. Data yako ya Chromium, kama vile programu zako, alamisho, historia, manenosiri, na mipangilio miingine itahusishwa na kabisa. Utaweza kufuta data hii kupitia Dashibodi ya Akaunti za Google, lakini hutaweza kuunganisha data hii na akaunti nyingine.
Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana.
Weka Chromium kuwa kivinjari chako chaguo-msingi
Chromium husasisha kiotomatiki ili uwe na toleo jipya zaidi wakati wowote. Upakuaji huu unapokamilika, Chromium itajizima na kuwaka tena na utaanza kutumia.
Tafadhali subiri Chromium inaposakinisha sasisho mpya ya mfumo.
Tafuta kwa mguso mmoja tu
Pata maelezo kuhusu mada zilizo kwenye tovuti bila kuondoka kwenye ukurasa.
ingia katika Chromium
(inahitaji uanzishaji upya wa Chromium)
Chromium inakaribia kuwa tayari.
Chromium OS
Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kupata toleo jipya la Chromium.
Matoleo ya baadaye ya Chromium hayatatumia tena mfumo huu wa Linux.
Karibu kwenye Chromium
Kituo kimebadilishwa. Zima na uwashe kifaa chako ili mabadiliko yaanze kutumika.
Chromium itahifadhi nenosori hili katika na kulikumbuka wakati ujao utakapolihitaji.
imeongezwa kwenye Chromium.
Maelezo kutoka kwa anwani zako yanaweza kukusaidia kujaza fomu kwa haraka zaidi katika Chromium.
Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali.
Chromium haikuweza kusawazisha data yako kutokana na hitalafu ya kuingia katika akaunti.
Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Chromium na ujaribu tena.
Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi
Chromium inatumia kamera yako.
Sasa ni rahisi zaidi kutumia Chromium pamoja na Akaunti yako ya Google na kwenye kompyuta zinazoshirikiwa.
Je, una hakika unataka kusanidua Chromium?
Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium.
Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium.
Unatumia kusawazisha vitu vyako vya Chromium. Ili usasishe mapendeleo yako ya usawazishaji au utumie Chromium bila akaunti ya Google, tembelea .
Sanidua Chromium
Chromium inahitaji idhini ya kufikia hifadhi ili ipakue faili.
Matoleo ya baadaye ya Chromium ya 32-bit hayatatumia tena mfumo huu wa Linux, tafadhali pata toleo jipya la Chromium la 64-bit.
Huenda Chromium haitafanya kazi vizuri kwa sababu haitumiki tena kwenye mfumo huu wa Linux.
Chromium inahitaji idhini ya kufikia maikrofoni ili iishiriki na tovuti hii.
Pata alamisho zako katika menyu ya Chromium au kwenye upau wa alamisho.
Fika kwenye wavuti
Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium.
Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium.
Sasisha &Chromium
Usinisumbue
Saidia kuboresha Chromium kwa kuripoti mipangilio ya sasa
Chromium ilithibitisha kuwa ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo sahihi ya Cheti cha Uwazi.
hutuma neno na muktadha wake kwenye Tafuta na Google, kurejesha ufafanuzi, picha, na matokeo mengine ya utafutaji.
Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30.
https://support.google.com/chrome/?p=ib_chromeframe
Vipengee vilivyopakiwa kwenye Chromium
Inasasisha kifaa chako...
Chromium haikuweza kupata toleo jipya, kwa hivyo unakosa vipengele vipya vizuri na marekebisho ya usalama. Unahitaji kusakinisha Chromium tena mwenyewe.
Sasisha Chromium
Hakuna usakinishi wa Chromium uliopatikana kusasishwa.
Mfumo wa Uendeshaji wa Chromium haukuweza kusawazisha data yako. Tafadhali sasisha kauli ya siri unayotumia kusawazisha.
Huenda Chromium ikatumia huduma za wavuti kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.
Chromium inaweza kutoa ukaguzi bora wa tahajia kwa kutuma unachocharaza katika kivinjari hadi kwenye seva za Google, ikikuruhusu kutumia teknolojia hiyo hiyo ya kukagua tahajia inayotumiwa na utafutaji wa Google.
Chromium ilithibithisha kuwa ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva ilitoa maelezo ya Cheti cha Uwazi, lakini Chromium haikutambua kumbukumbu zozote za Cheti cha Uwazi.
Ni kwa kwa nini ninaona hii?
Ficha katika Menyu ya Chromium
Inawezesha mikato ya kibodi ambayo ni muhimu kwa kutatua Chromium.
Kidhibiti cha Shughuli - Chromium
Onyesha menyu ya Chromium
Sasisha Chromium OS
Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili.
Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako.
Chromium
Dirisha jipya
Wavuti, alamisho, na mambo yako mengine ya Chromium yanapatikana hapa.
Iwapo unapendelea kutenganisha data yako iliyopo ya Chromium, unaweza kuingiza mtumiaji mpya wa Chromium kwa .
Chromium inahitaji Windows XP au toleo la awali. Huenda vipengele vingine visifanye kazi.
Chromium - Arifa ( hazijasomwa)
La Asante
Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena.
Faili hili ni hasidi, na Chromium imeizuia.
Kuhusu Chromium OS
Chromium inatumia kamera na maikrofoni yako.
Chromium imeboreshwa
Chromium si kivinjari chako chaguo-msingi.
Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu Usawazishaji haupatikani kwa kikoa chako.
Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.
Chromium ilithibitisha kuwa ndiye mtoa cheti cha tovuti hii. Seva haikutoa maelezo yoyote ya Cheti cha Uwazi.
Uliingia kwenye Chromium kama . Tafadhali tumia akaunti hiyo hiyo kuingia tena.
Chromium husasisha kiotomatiki, kwa hivyo, utakuwa na toleo jipya zaidi wakati wowote.
Ficha katika menyu ya Chromium
Inasasisha kituo chako kwenda kituo cha ...
Chromium inahitaji idhini ya kufikia ruhusa ili izishiriki na tovuti hii.
Unaweza kuona arifa zako zote kutoka kwa programu za Chromium, viendelezi, na tovuti hapa.
Ukishiriki kompyuta hii na , jiongeze kwenye Chromium ili uvinjari tofauti. Vinginevyo ondoa Akaunti yake ya Google.
Saidia ili kuiboresha Chromium
Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena.
Chromium Imepitwa na Wakati
Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.
Pata msaada kwa kutumia Chromium
Hakimiliki Wasanidi wa Chromium. Haki zote zimehifadhiwa.
Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena.
Chromium haijumuishi kitazamaji cha PDF kinachohitajika ili Uhakiki wa Uchapishaji ufanye kazi.
Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapotafuta kutoka Sanduku Kuu.
Hii ni Chromium yako
Acha Chromium Iendelee Katika Madnarinyuma
Masharti ya Chromium OS
Chromium haikuweza kusawazisha data yako kwa sababu maelezo yako ya kuingia katika akaunti yanahitaji kusasishwa.
Unganisha data yangu ya Chromium kwenye akaunti hii
kuu
Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.
Pia inadhibiti ukurasa unaoonyeshwa unapoanzisha Chromium au unapobofya kitufe cha Mwanzo.
Chromium inajaribu kuonyesha manenosiri. Chapa nenosiri lako la Windows ili uruhusu hili.
Programu unayotumia kwenye kompyuta haioani na Chromium.
Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za programu huria.
Awali kuna mtu aliingia katika Chromium kwenye kompyuta hii kama . Iwapo hiyo si akaunti yako, fungua mtumiaji mwengine wa Chromium ili utenge maelezo yako.
Kuingia bila kujali kutaunganisha maelezo ya Chromium kama vile alamisho, historia, na mipangilio mingine kwenye .
Ongeza kwenye Chromium
Chromium inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au zaidi.
Ili kufanya Chromium salama zaidi, tumezima kiendelezi kinachofuata ambacho hakijaorodheshwa katika na huenda kimeongezwa bila ridhaa yako.
Ingia kwenye Chromium
Kizinduzi cha Programu ya Chromium
Chromium imepitwa na wakati
Futa historia yako ya kuvinjari pia?
Kuondoa kutafuta historia, alamisho, mipangilio, na data zako nyingine kwenye Chromium zilizohifadhiwa kwenye kifaa hiki. Data iliyohifadhiwa katika Akaunti ya Google haitafutwa na inaweza kudhibitiwa kwenye Dashibodi ya Google.
Chromium (mDNS-In)
Sasa umeingia kwenye Chromium
huhitaji usome na ukubali Sheria na Masharti yafuatayo kabla ya kutumia kifaa hiki. Masharti haya hayapanui, kurekebisha au kupunguza Masharti ya Chromium OS.
Waandishi wa Chromium