Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi. Fika kwenye wavuti Google Chrome tayari imesanidiwa kwa mtumiaji huyu. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na uipakue tena. Kuhusu Google Chrome Anzisha Google Chrome Chrome hutumia injini tafuti yako chaguo-msingi, ambayo kwa sasa ni . Je, ungependa kudumisha injini tafuti yako chaguo-msingi? Google Chrome sasa inaingiza Vipendwa/Alamisho. Google Chrome haijasakinishwa au imeshindwa kupata saraka ya usakinishaji.Tafadhali pakua Google Chrome tena. Sheria na Masharti Eneo la "Zilizotembelewa zaidi" huonyesha tovuti unazotembelea mara nyingi zaidi. Baada ya kutumia Google Chrome kwa muda, utaona tovuti ulizotembelea zaidi kila unapofungua kichupo kipya. Unaweza kujifunza zaidi kuhusu kipengele hiki na vingine kwenye Ukurasa wa Kuanzia. Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena. Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Yaonekana kuwa saraka ya kusanidi wa Google Chrome inatumika. Tafadhali washa kompyuta yako upya na ujaribu tena. Hakimilki © 2006-2009 Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa. Changia kuboresha Google Chrome kwa kutuma takwimu za utumiaji na ripoti za kuzimika kwa Google atomatiki Google Chrome inahitaji kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoitishwa ni . Google Chrome Ho! Google Chrome imezimika. Anzisha tena sasa? Ukigahiri sasa, sio vitu vyote vitaingizwa. Unaweza kuingiza tena baadaye kwenye menyu ya Chrome. Google Chrome itatatekeleza mambo haya: Google Chrome inaleta utundu Sanidua Google Chrome - Google Chrome Lugha ya Google Chrome: Google Chrome huenda ikatumia huduma za wavuti ili kuboresha hali yako ya kuvinjari - unaweza kulemaza huduma hizi kwa hiari yako. Unda mikato ya Google Chrome katika sehemu hizi: Je, ungependa Chrome ihifadhi nenosiri lako? Google Chrome haikufungika ipasavyo. Kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha. Google Chrome imekwama. Ianzishe upya sasa? Kisanidi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi kwenye diski na ruhusa ya kusanidi programu. Ulijaribu kufikia , lakini cheti kilichowasilishwa na seva kina hitilafu. Google Chrome haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuthibitisha utambulisho wa tovuti uliyojaribu kufikia. Muunganisho wako si salama na hufai kuendelea. Malezo yako mafupi hayawezi kutumika kwa sababu ni ya kutoka toleo jipya zaidi la Google Chrome. \n\nBaadhi ya nduni huenda zisipatikane. Tafadhali taja saraka tofauti ya maelezo-mafupi au utumie toleo jipya zaidi la Google Chrome. Chrome Futa historia yako ya kuvinjari pia? Upau wa Google Chrome Hoyee! Umerudi! Lakini Google Chrome sio kivinjari chako chaguo-msingi. Ulijaribu kufikia , lakini seva iliwasilisha cheti amacho bado si sahihi. Hakuna maelezo ya kuashiria ikiwa cheti hicho kinaweza kuaminika. Google Chrome haiwezi kutoa hakikisho dhabiti kuwa unawasiliana na  na wala sio mshambulizi. Unastahili kuhakikisha kuwa saa na wakati wa eneo kwenye kompyuta yako ni sahihi. Ikiwa si sahihi, rekebisha makosa yoyote na uonyeshe ukurasa huu upya. Ikiwa ziko sahihi, usiendelee. Huna haki zifaazo kufanya usanidi wa hadi ya mfumo. Jaribu kutumia kisanidi kama msimamiaji kompyuta. Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa Chromium na programu huria zingine. google Chrome iko tayari kukamilisha usanidi wako. Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:\n\n Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome? Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi Mara hii, anwani iliyo kwenye cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda. Sababu mojawapo huenda ikawa kuwa mawasiliano yako yananaswa na mshambulizi anayetoa cheti cha tovuti tofauti, hivi kusababisha kutolingana. Sababu nyingine yaweza kuwa seva imepangwa kutoa cheti kimoja kwa tovuti nyingi, pamoja na ile unayojaribu kutembelea, ingawa cheti hicho sio sahihi kwa tovuti hizo zote. Google Chrome inaweza kusema kwa uhakika kuwa umefika , lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na  uliyotaka kufikia. Iwapo utaendelea, Google Chrome haitachunguza kutolingana kwa majina tena. Kijumla, ni kheri usiendelee kupita hapa. Mgongano na programu nyingine iliyosanidiwa umetambuliwa. Karibu Google Chrome Google Chrome haichukuani na Windows 2000. Baadhi ya vipengele huenda visifanye kazi. Ondoka Chrome Kivinjari Wavuti Tafadhali funga madirisha yote ya Chrome na uanzishe Chrome upya ili mabadiliko haya yatimizwe. Google Chrome tayari imesanidiwa na inapatikana kwa watumiaji wote wa kompyuta hii. Ikiwa ungependa kusanidi Google Chrome kwa kiwago cha mtumiaji, sharti kwanza usanidue toleo la kiwango cha mfumo iliyosanidiwa na msimamizi wa kompyuta. Google Chrome sio kivinjari chako cha chaguo-msingi Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Google Chrome haichukuani na . Unapoweka upya chaguo za Google Chrome, mabadiliko yoyote ambayo umetekeleza yatarejeshwa kwenye mipangilio chaguo-msingi. Je, ungependa kuweka upya chaguo za Chrome? Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu hii haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na uipakue tena. Google Chrome ya Tafadhali funga madirisha yote ya Chrome na ujaribu tena. Jalada la kisanidi limevurugik au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea. Google Chrome Msimamiaji kompyuta amesanidi Google Chrome kwenye mfumo huu na inapatikana kwa watumiaji wote. Google Chrome ya kiwango cha mfumo itachukua mahali pa usanidi wako wa kiwago cha mtumiaji sasa. Google Inc. Badilisha lugha inayotumika katika menyu, visanduku vya mazungumzo na vidokezo vya zana katika Google Chrome. Ulijaribu kufikia , lakini seva ikawasilisha cheti ambacho muda wake umepita. Maelezo ya kuthibitisha ikiwa cheti hicho kimeingiliwa tangu kipitwe na wakati hayapatikani. Hii inamaanisha kuwa Google Chrome haiwezi kukuhakikishia kuwa unawasiliana na  na wala si mshambulizi. Hufai kuendelea. Kidhibiti Kazi - Google Chrome Google Chrome sasa inaingiza vitu vifuatavyo kutoka : Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Ongeza mikato hadi Google Chrome kwenye eneo-kazi lako, upau-zindua-kasi na menyu ya kuanzia. Ulijaribu kufikia , lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na mfumo ambao hauaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Hii inaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama yenyewe, ambazo Google Chrome haiwezi kutegemea kupata maelezo ya utambulisho, au yawezekana kuwa mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako. Hufai kuendelea, haswa ikiwa hujawahi kuona ilani hii kwenye tovuti hii kamwe.