Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi.
Fika kwenye wavuti
Kuhusu Chrome Frame...
Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena.
Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:
Google Chrome tayari imesanidiwa kwa mtumiaji huyu. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali ondoa Google Chrome na uipakue tena.
Kuhusu Google Chrome
Toleo jipya la Google Chrome linapatikana.
Anzisha Google Chrome
Faili yako ya mapendeleo imevurugika au sio halali. \n\nGoogle Chrome haiwezi kuopoa mipangilio yako.
Google Chrome sasa inaingiza Vipendwa/Alamisho.
Google Chrome haijasakinishwa au imeshindwa kupata saraka ya usakinishaji.Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Kionyeshi cha Google Chrome
Sheria na Masharti
Kusanidua kumekamilika.
Ukighairi sasa, sio vipengee vyote vitaingizwa. Unaweza kuingiza tena baadaye kutoka kwenye menyu ya Chrome.
Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.
Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Kifaa cha Google Chrome
Yaonekana kuwa saraka ya kusanidi wa Google Chrome inatumika. Tafadhali washa kompyuta yako upya na ujaribu tena.
Changia kuboresha Google Chrome kwa kutuma takwimu za utumiaji na ripoti za kuzimika kwa Google atomatiki
Google Chrome inahitaji kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoitishwa ni .
Google Chrome
Ho! Google Chrome imezimika. Anzisha tena sasa?
Google Chrome Frame
Chrome Frame imesasishwa. Tafadhali anzisha kivinjari chako upya. Toleo la Chrome: , toleo la Chrome Frame:
Kiagizaji cha Maelezo Mafupi cha Google Chrome
Kionyeshi cha Chrome
Google Chrome itatatekeleza mambo haya:
Google Chrome inaleta utundu
Ondoa Google Chrome
- Google Chrome
Lugha ya Google Chrome:
Unda mikato ya Google Chrome katika sehemu hizi:
Kiingizaji Maelezo Mafupi cha Chrome
Google Chrome Inaleta Utundu
Google Chrome haikufungika ipasavyo. Kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha.
Google Chrome imekwama. Ianzishe upya sasa?
Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena.
Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.
Ulijaribu kufikia , lakini cheti kilichowasilishwa na seva kina hitilafu. Google Chrome haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuthibitisha utambulisho wa tovuti uliyojaribu kufikia. Muunganisho wako si salama na hufai kuendelea.
Toleo lisilojulikana.
Ondoa
Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na uianzishe upya ili mabadiliko yatekelezwe.
Malezo yako mafupi hayawezi kutumika kwa sababu ni ya kutoka toleo jipya zaidi la Google Chrome. \n\nBaadhi ya nduni huenda zisipatikane. Tafadhali taja saraka tofauti ya maelezo-mafupi au utumie toleo jipya zaidi la Google Chrome.
Google Chrome inaweza kutumia huduma za wavuti kuboresha uzoefu wako wa kuvinjari. Unaweza kulemaza huduma hizi kwa hiari yako.
Chrome
Futa historia yako ya kuvinjari pia?
Upau wa Google Chrome
Kipangishi cha Programu Jalizi za Chrome
Ulijaribu kufikia , lakini seva iliwasilisha cheti amacho bado si sahihi. Hakuna maelezo ya kuashiria ikiwa cheti hicho kinaweza kuaminika. Google Chrome haiwezi kutoa hakikisho dhabiti kuwa unawasiliana na  na wala sio mshambulizi. Unastahili kuhakikisha kuwa saa na wakati wa eneo kwenye kompyuta yako ni sahihi. Ikiwa si sahihi, rekebisha makosa yoyote na uonyeshe ukurasa huu upya. Ikiwa ziko sahihi, usiendelee.
Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.
Kifaa cha Chrome
Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa Chromium na programu huria zingine.
Google Chrome iko tayari kukamilisha usakinishaji wako.
Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:\n\n
Usinisumbue
Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome?
Google Chrome ni kivinjari wavuti kinachochakata kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni nyepesi, dhabiti na ni rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi kwa ulinzi dhidi ya programu-hasidi na hadaa ulioundwa ndani ya Google Chrome.
Hakimilki © 2006-2010 Google Inc. Haki zote zimehifadhiwa.
Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi
Mapendeleo yako hayawezi kusomwa. \n\nBaadhi ya vipengele huenda vikawa havipatikani na mabadiliko kwa mapendeleo yako hayatahifadhiwa.
Mara hii, anwani iliyo kwenye cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda. Sababu mojawapo huenda ikawa kuwa mawasiliano yako yananaswa na mshambulizi anayetoa cheti cha tovuti tofauti, hivi kusababisha kutolingana. Sababu nyingine yaweza kuwa seva imepangwa kutoa cheti kimoja kwa tovuti nyingi, pamoja na ile unayojaribu kutembelea, ingawa cheti hicho sio sahihi kwa tovuti hizo zote. Google Chrome inaweza kusema kwa uhakika kuwa umefika , lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na  uliyotaka kufikia. Iwapo utaendelea, Google Chrome haitachunguza kutolingana kwa majina tena. Kijumla, ni kheri usiendelee kupita hapa.
Mgongano na programu nyingine iliyosanidiwa umetambuliwa.
Google Chrome hutumia injini tafuti yako chaguo msingi, ambayo kwa sasa ni . Je, ungependa kudumisha ijini tafuti yako chaguo msingi?
Karibu Google Chrome
Msaidizi wa Google Chrome
Mpangishaji wa Programu Jalizi ya Google Chrome
Je, ungependa Google Chrome ihifadhi nenosiri lako?
Ondoka Chrome
Google Chrome Worker
Kivinjari Wavuti
Google Chrome tayari imesakinishwa na inapatikana kwa watumiaji wote wa kompyuta hii. Ikiwa ungependa kusakinisha Google Chrome kwa kiwago cha mtumiaji, sharti usanidue toleo la kiwango cha mfumo lilosakinishwa na msimamizi wa kompyuta kwanza.
Google ChromeOS haiauni kuzindua programu ya nje kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoitishwa ni .
Ni kwa kwa nini ninaona hii?
Google Chrome sio kivinjari chako cha chaguo-msingi
Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Google Chrome haichukuani na .
Unapoweka upya chaguo za Google Chrome, mabadiliko yoyote ambayo umetekeleza yatarejeshwa kwenye mipangilio chaguo-msingi. Je, ungependa kuweka upya chaguo za Chrome?
Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Google Chrome. Ikiwa programu hii haifanyi kazi, tafadhali sanidua Google Chrome na uipakue tena.
Msaidizi wa Chrome
Jalada la kisanidi limevurugik au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.
Google Chrome
Sasisho la Fremu ya Chrome
Msimamiaji kompyuta amesanidi Google Chrome kwenye mfumo huu na inapatikana kwa watumiaji wote. Google Chrome ya kiwango cha mfumo itachukua mahali pa usanidi wako wa kiwago cha mtumiaji sasa.
Ijaribu (tayari imesakinishwa)
Google Inc.
Badilisha lugha inayotumika katika menyu, visanduku vya mazungumzo na vidokezo vya zana katika Google Chrome.
Ulijaribu kufikia , lakini seva ikawasilisha cheti ambacho muda wake umepita. Maelezo ya kuthibitisha ikiwa cheti hicho kimeingiliwa tangu kipitwe na wakati hayapatikani. Hii inamaanisha kuwa Google Chrome haiwezi kukuhakikishia kuwa unawasiliana na  na wala si mshambulizi. Hufai kuendelea.
Kidhibiti Kazi - Google Chrome
Google Chrome sasa inaingiza vitu vifuatavyo kutoka :
Kihudumu cha Chrome
Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena.
Ongeza mikato hadi Google Chrome kwenye eneo-kazi lako, upau-zindua-kasi na menyu ya kuanzia.
Ulijaribu kufikia , lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na mfumo ambao hauaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Hii inaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama yenyewe, ambazo Google Chrome haiwezi kutegemea kupata maelezo ya utambulisho, au yawezekana kuwa mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako. Hufai kuendelea, haswa ikiwa hujawahi kuona ilani hii kwenye tovuti hii kamwe.