Google Chrome inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au ya juu zaidi. Fika kwenye wavuti Kuhusu Chrome Frame... Tafadhali funga madirisha yote ya Google Chrome na ujaribu tena. Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe: Kuhusu Google Chrome Toleo jipya la Google Chrome linapatikana. Anzisha Google Chrome Faili yako ya mapendeleo imevurugika au sio halali. \n\nGoogle Chrome haiwezi kuopoa mipangilio yako. Google Chrome sasa inaingiza Vipendwa/Alamisho. Google Chrome haijasakinishwa au imeshindwa kupata saraka ya usakinishaji.Tafadhali pakua Google Chrome tena. Kionyeshi cha Google Chrome Sheria na Masharti Kusanidua kumekamilika. Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Google Chrome haitumiki kwa sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena. Kisanidi kimeshindwa kufungua saraka. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Kifaa cha Google Chrome Yaonekana kuwa saraka ya kusanidi wa Google Chrome inatumika. Tafadhali washa kompyuta yako upya na ujaribu tena. Google Chrome inahitaji kufungua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoitishwa ni . Google Chrome Google Chrome Frame Kionyeshi cha Chrome Google Chrome inaleta utundu Ondoa Google Chrome - Google Chrome Google Chrome Inaleta Utundu Google Chrome haikufungika ipasavyo. Kufungua tena kurasa ulizokuwa umefungua, bofya Rejesha. Huwezi kusakinisha toleo la Google Chrome ambalo tayari linatumika. Tafadhali funga Google Chrome na ujaribu tena. Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu. Ulijaribu kufikia , lakini cheti kilichowasilishwa na seva kina hitilafu. Google Chrome haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuthibitisha utambulisho wa tovuti uliyojaribu kufikia. Muunganisho wako si salama na hufai kuendelea. Toleo lisilojulikana. Ondoa Malezo yako mafupi hayawezi kutumika kwa sababu ni ya kutoka toleo jipya zaidi la Google Chrome. \n\nBaadhi ya nduni huenda zisipatikane. Tafadhali taja saraka tofauti ya maelezo-mafupi au utumie toleo jipya zaidi la Google Chrome. Chrome Futa historia yako ya kuvinjari pia? Upau wa Google Chrome Kipangishi cha Programu Jalizi za Chrome Ulijaribu kufikia , lakini seva iliwasilisha cheti amacho bado si sahihi. Hakuna maelezo ya kuashiria ikiwa cheti hicho kinaweza kuaminika. Google Chrome haiwezi kutoa hakikisho dhabiti kuwa unawasiliana na  na wala sio mshambulizi. Unastahili kuhakikisha kuwa saa na wakati wa eneo kwenye kompyuta yako ni sahihi. Ikiwa si sahihi, rekebisha makosa yoyote na uonyeshe ukurasa huu upya. Ikiwa ziko sahihi, usiendelee. Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta. Kifaa cha Chrome Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa Chromium na programu huria zingine. Google Chrome haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:\n\n Usinisumbue Je, una hakika kuwa ungependa kusanidua Google Chrome? Fanya Google Chrome iwe kivinjari chaguo-msingi Mapendeleo yako hayawezi kusomwa. \n\nBaadhi ya vipengele huenda vikawa havipatikani na mabadiliko kwa mapendeleo yako hayatahifadhiwa. Mara hii, anwani iliyo kwenye cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda. Sababu mojawapo huenda ikawa kuwa mawasiliano yako yananaswa na mshambulizi anayetoa cheti cha tovuti tofauti, hivi kusababisha kutolingana. Sababu nyingine yaweza kuwa seva imepangwa kutoa cheti kimoja kwa tovuti nyingi, pamoja na ile unayojaribu kutembelea, ingawa cheti hicho sio sahihi kwa tovuti hizo zote. Google Chrome inaweza kusema kwa uhakika kuwa umefika , lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na  uliyotaka kufikia. Iwapo utaendelea, Google Chrome haitachunguza kutolingana kwa majina tena. Kijumla, ni kheri usiendelee kupita hapa. Mgongano na programu nyingine iliyosanidiwa umetambuliwa. Google Chrome hutumia injini tafuti yako chaguo msingi, ambayo kwa sasa ni . Je, ungependa kudumisha ijini tafuti yako chaguo msingi? Karibu Google Chrome Msaidizi wa Google Chrome Mpangishaji wa Programu Jalizi ya Google Chrome Je, ungependa Google Chrome ihifadhi nenosiri lako? Ondoka Chrome Google Chrome Worker Kivinjari Wavuti Google Chrome tayari imesakinishwa na inapatikana kwa watumiaji wote wa kompyuta hii. Ikiwa ungependa kusakinisha Google Chrome kwa kiwago cha mtumiaji, sharti usanidue toleo la kiwango cha mfumo lilosakinishwa na msimamizi wa kompyuta kwanza. Google ChromeOS haiauni kuzindua programu ya nje kushughulikia viungo vya . Kiungo kilichoitishwa ni . Ni kwa kwa nini ninaona hii? Google Chrome sio kivinjari chako cha chaguo-msingi Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Google Chrome haichukuani na . Msaidizi wa Chrome Jalada la kisanidi limevurugik au ni batili. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Yasikitisha, mipangilio ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kikiwa kinatumika. Kuingiza mipangilio hiyo kwa Google Chrome, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea. Google Chrome Sasisho la Fremu ya Chrome Msimamiaji kompyuta amesanidi Google Chrome kwenye mfumo huu na inapatikana kwa watumiaji wote. Google Chrome ya kiwango cha mfumo itachukua mahali pa usanidi wako wa kiwago cha mtumiaji sasa. Ijaribu (tayari imesakinishwa) Google Inc. Ulijaribu kufikia , lakini seva ikawasilisha cheti ambacho muda wake umepita. Maelezo ya kuthibitisha ikiwa cheti hicho kimeingiliwa tangu kipitwe na wakati hayapatikani. Hii inamaanisha kuwa Google Chrome haiwezi kukuhakikishia kuwa unawasiliana na  na wala si mshambulizi. Hufai kuendelea. Kidhibiti Kazi - Google Chrome Google Chrome sasa inaingiza vitu vifuatavyo kutoka : Kihudumu cha Chrome Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji imetokea wakati wa kusanidi. Tafadhali pakua Google Chrome tena. Ulijaribu kufikia , lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na mfumo ambao hauaminiwi na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Hii inaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama yenyewe, ambazo Google Chrome haiwezi kutegemea kupata maelezo ya utambulisho, au yawezekana kuwa mshambulizi anajaribu kukatiza mawasiliano yako. Hufai kuendelea, haswa ikiwa hujawahi kuona ilani hii kwenye tovuti hii kamwe.