Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako. Unautazama ukurasa salama wa Google Chrome. Google Chrome imefanikishwa na mradi wa programu huria wa Chromium na programu huria zingine. Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua Google Chrome. Ukurasa huu unaonyesha tu maelezo yako ya uharibifu wa hivi karibuni ukiwezesha kuripoti uharibifu. Mfumo wa Uendeshaji wa Chrome haujakamilisha kuweka mipangilio yake ya awali. Nenda kwenye menyu ya Chrome > Mipangilio > Faragha (Iliyoboreshwa) na uzime "Leta mapema rasilimali za kurasa." Ikiwa hili halitatui tatizo, tunapendekeza uwashe chaguo hili tena kwa utendaji ulioimarishwa. Nenda kwenye menyu ya Chrome > > > na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye "hakuna proksi" au "moja kwa moja." Nenda kwenye menyu ya Chrome > > na uondoe tiki kwenye "." Ikiwa hili halitatatua tatizo, tunapendekeza uchague tena chaguo hili kwa utendaji ulioboreshwa. Nenda kwenye menyu ya Chrome > > > > Mipangilio ya LAN na uondoe tiki kwenye "Tumia seva ya proksi kwa LAN yako". Ruhusu Chrome ifikie mtandao kwenye mipangilio yako ya ngome au kingavirusi. Nenda kwenye Programu > Mapendeleo ya Mfumo > Mtandao > Uboreshaji > Proksi na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.