Toleo lisilooana la itifaki liligunduliwa. Tafadhali hakikisha kuwa umesakinisha toleo jipya la programu kwenye kompyuta zote mbili na ujaribu tena.
Mbaya
Chagua...
Funga miunganisho ya mbali
Lazima uwashe miunganisho ya mbali iwapo unataka kutumia Chromoting kufikia kompyuta hii.
Fikia kompyuta zako kwa usalama kutoka kifaa chako cha Android.
• Katika kila kompyuta yako, sanidi ufikiaji wa mbali kwa kutumia programu ya Kompyuta ya Mbali ya Chrome kutoka Duka la Wavuti la Chrome: https://chrome.google.com/remotedesktop
• Kwenye kifaa chako cha Android, fungua programu na ugonge kompyuta yako yoyote iliyo mtandaoni ili uunganishe.
Kompyuta za mbali zinazotumia kibodi zisizokuwa za Kiingereza cha Marekani huenda zikapokea ingizo la maandishi lisilo sahihi. Uwezo wa kutumia kibodi zingine unakuja hivi karibuni!
Kwa maelezo kuhusu faragha, tafadhali angalia Sera ya Faragha ya Google (http://goo.gl/SyrVzj) na Sera ya Faragha ya Chrome (http://goo.gl/0uXE5d).
(kipengele hiki bado hakipatikani kwa kompyuta yako)
Ona na udhibiti kompyuta iliyoshirikiwa.
Pakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali
Kipengele kilichoombwa hakipo.
Mikopo
Badilisha ukubwa wa eneo-kazi ili litoshe
Imeshindwa kuanza huduma ya ufikiaji wa mbali.
Hitilafu isiyotarajiwa imetokea. Tafadhali ripoti tatizo hili kwa wasanidi programu.
Imefunga muunganisho kwenye kifaa Kinachoruhusu midia.
Kuondoka kwenye ukurasa huu kutakamilisha kipindi chako cha Chromoting.
Hakuna kitu cha kuunganisha kwacho.
Inawasha miunganisho ya mbali kwa kompyuta hii...
Ilishindwa kusajili kompyuta hii.
Mapendeleo ya Seva Pangishi ya Chromoting
Acha Kurekodi
Huna kompyuta zilizosajiliwa. Ili uwashe miunganisho ya mbali, sakinisha Eneo-kazi la Mbali la Chrome hapo na ubofye “”.
Inaunganisha...
Siwezi kuifungua programu.
IP ya Kituo cha kiteja: ip='' ip ya mpangishi='' kituo='' muunganisho=''.
Funga dirisha
Inafunga miunganisho ya mbali ya kompyuta hii...
Funga droo ya kusogeza
Mipangilio ya kibodi
Chrome inapakua kisakinishi cha Seva pangishi cha Eneo-kazi la Chromoting. Mara tu upakuaji unapokamilika, tafadhali endesha kisakinishi kabla ya kuendelea.
Muunganisho haujafaulu
Chrome inapakua kisakinishi cha Seva pangishi cha Eneo-kazi la Mbali la Chrome. Mara upakuaji unapokamilika, tafadhali endesha kisakinishi kabla ya kuendelea.
Viteja vyote vilivyooanishwa vimefutwa.
Pangishi inazima halafu iwashe, ili izingatie mabadiliko ya sera.
Viteja vifuatavyo vimeoanishwa na kompyuta hii na vinaweza kuunganisha bila kutoa PIN. Unaweza kufuta ruhusa hii wakati wowote, iwe kwa kimoja, au viteja vyote.
Mchakato wa Seva Pangishi
Hali ya padi ya ufuatiliaji
Miunganisho ya mbali ya kompyuta hii imefungwa.
Fikia kompyuta zako kwa usalama kutoka kifaa chako cha Android.
• Katika kila kompyuta yako, sanidi ufikiaji wa mbali kwa kutumia programu ya Kompyuta ya Mbali ya Chrome kutoka Duka la Wavuti la Chrome: https://chrome.google.com/remotedesktop
• Kwenye kifaa chako cha Android, fungua programu na ugonge kompyuta yako yoyote iliyo mtandaoni ili uunganishe.
Kwa maelezo kuhusu faragha, tafadhali angalia Sera ya Faragha ya Google (http://goo.gl/SyrVzj) na Sera ya Faragha ya Chrome (http://goo.gl/0uXE5d).
Fikia kompyuta zako kwa usalama kutoka kifaa chako cha Android.
Mipangilio ya sera hairuhusu kushiriki kompyuta hii kama mpangishaji wa Eneokazi la Mbali la Chrome. Wasiliana na msimamizi wa mfumo wako kwa usaidizi.
Ripoti tatizo
Tumia Ctrl ya kulia kwa kitufe cha Win (⌘ kwenye Mac)
Shiriki kompyuta hii ili mtumiaji mwengine aone na adhibiti.
Mipangilio inadhibitiwa na sera ya kikoa chako.
Zima na uwashe sasa
Karibu
Tafadhali thibitisha akaunti yako na PIN hapa chini ili kuruhusu ufikiaji kwa Chromoting.
Kipindi chako cha hakijawa kikitumika kwa muda na kitaondolewa baada ya muda mfupi.
Unaweza kufikia kwa usalama kompyuta hii kutumia Chromoting.
Endelea
Haiwezi kufikia seva pangishi. Labda hii ni kwa sababu ya usanidi wa mtandao unaotumia.
Mara ya mwisho alionekana mtandaoni .
Usaidizi na maoni
Tusaidie kuboresha Eneo-kazi la Mbali la Chrome kwa kuturuhusu tukusanye takwimu za matumizi na ripoti za hitilafu.
KUMBUKA: Ili kuhakikisha kuwa mikato yote ya kibodi inapatikana, unaweza kusanidi Kompyuta ya Mbali ya Chrome ili "Ifungue kama dirisha'’.
Ungependa kushiriki kompyuta hii kwa mtumiaji mwingine ili kuangalia na kudhibiti?
Huduma hii inawezesha miunganisho inayoingia kutoka kwa viteja vya Kompyuta za Mbali za Chrome
Huduma ya Chromoting
Inafanya kazi…
Chromoting
Usasishaji wa programu kwa kawaida hufanyika kiotomatiki, lakini wakati mwingine unaweza kushindwa japo kwa nadra. Kusasisha programu kunapaswa kuchukua si zaidi ya dakika chache na kunaweza kufanyika wakati imeunganishwa kwa kompyuta yako kwa mbali.
Miunganisho ya kompyuta ya mbali imezuiwa kwa muda kwa sababu mtu alikuwa akijaribu kuunganisha kwayo kwa PIN batili. Tafadhali jaribu tena baadaye.
Muda
Mara tu anapoingiza msimbo kipindi chako cha kushiriki kitaanza.
Utiririshaji wa Programu ya Chromium
nje ya mtandao
Hitilafu ya mtandao imetokea. Tutazima na kuwasha programu kifaa chako kikiwa mtandaoni tena.
Kompyuta hii kwa sasa inashirikiwa chini ya akaunti tofauti.
Kwa sasa unashiriki mashine hii na mtumiaji mwengine. Unataka kuendelea kushiriki?
Mwanzoni uliingia katika akaunti kama (). Ili kufikia kompyuta zako katika akaunti hiyo, ingia katika Chromium kwa akaunti hiyo na usakinishe tena Chromoting.
Imeshindwa kufunga ufikiaji wa mbali kwenye kompyuta hii. Tafadhali jaribu tena baadaye.
Baadhi ya vipengele vinavyohitajika havipo. Tafadhali nenda kwenye chrome://plugins na uhakikishe kipengee cha Native Client kimewashwa.
Thibitisha ili upangishe
Imeshindwa kusasisha PIN. Tafadhali jaribu tena baadaye.
Ili kutusaidia kutatua tatizo lako, tafadhali tuambie kilichokwenda kombo:
Hali ya kugusa
Kompyuta ya mbali haikubali maombi ya muunganisho. Tafadhali thibitisha kuwa iko kwenye mtandao na ujaribu tena.
Futa zote
Pangishi haijafaulu kusoma sera.
Kompyuta ya Mbali ya Chrome
Kompyuta ya Mbali
Unaweza kufikia kompyuta hii kwa usalama kutumia Eneo-kazi la Mbali la Chrome.
Je, unataka kusaidia kuboresha Kompyuta ya Mbali ya Chrome? Shiriki utafiti.
Kidhibiti cha Seva Pangishi ya Chromoting
Badilisha jina la kompyuta
Fikia kompyuta yako kwa njia salama kwenye Intaneti
Windows
Charaza PIN upya
Onyesha takwimu
Mmiliki wa seva pangishi si sahihi.
Mipangilio ya sera hairuhusu kushiriki kompyuta hii kama mpangishaji wa Chromoting. Wasiliana na msimamizi wa mfumo wako kwa usaidizi.
Mchakato wa Mbali wa Ufunguo wa Usalama
Haikuweza kuunganisha kwenye mtandao. Tafadhali angalia kuwa kifaa chako kipo mtandaoni.
Huduma hii inawasha miunganisho inayoingia kutoka kwenye viteja vya Chromoting.
Hujaingia kwenye Chromium. Tafadhali ingia na ujaribu tena.
Punguza dirisha
Nje ya mtandao.
Pata maelezo
Kipindi chako cha Eneo-kazi la Mbali la Chrome kimekamilika.
Mpangishi wa
Chromoting
Google Inc.
Tafadhali thibitisha akaunti yako na PIN hapa chini ili kuruhusu ufikiaji kwa Kompyuta ya Mbali ya Chrome
Kikoa cha mmiliki wa seva pangishi si sahihi.
Punguza ili itoshe
Mpangishi amesimamishwa.
Chromoting kwenye imepitwa na wakati na inahitaji kusasishwa.
Ingia
Ili kuendelea lazima uipe kompyuta yako ruhusa za ufikiaji zilizoongezwa kwanza. Unahitaji kufanya hili mara moja pekee.
Lazima uwashe miunganisho ya mbali ukitaka kutumia Eneo-kazi la Mbali la Chrome kufikia kompyuta hii.
Kwanza unahitaji kuiweka kompyuta yako ili ifikiwe kutoka mbali.
• Sasisho za Kiolesura cha Usanifu Bora.
• Vitambulisho vya utoaji leseni kwa mtu mwingine.
• Maelezo yanayoonyeshwa kwa kompyuta za mbali ambazo ziko nje ya mtandao.
Kompyuta ya mbali imeshindwa kuanzisha kipindi. Tatizo likiendelea tafadhali jaribu kuweka mipangilio ya seva pangishi tena.
Miunganisho yote
DOKEZO: Mipangilio ya sera inakubali miunganisho kati ya kompyuta zilizo katika mtandao wako.
Baadhi ya vipengele vinavyohitajika havipo. Tafadhali hakikisha kuwa umesakinisha toleo jipya la programu na ujaribu tena.
Ili ulinde ufikiaji kwenye kompyuta hii, tafadhali chagua PIN ya angalau tarakimu sita. PIN hii itahitajika utakapounganisha kutoka eneo jingine.
Msimbo wa ufikiaji
Tafadhali endesha kisakinishi kabla ya kuendelea.
Kiondoa Seva Pangishi ya Chromoting
Kompyuta hii imesanidiwa kuruhusu kiteja kimoja au zaidi kuunganisha bila kuingiza PIN.
Msimbo wa ufikiaji ni batili. Tafadhali jaribu tena.
Ili uwashe miunganisho ya mbali kwenye kompyuta tofauti, sakinisha Eneo-kazi la Mbali la Chrome na ubofye “”.
Je, unataka kusaidia kuboresha Chromoting? Shiriki utafiti.
Zima
Mkataba Kuu
Funga miunganisho ya mbali kwenye kompyuta hii
Inazalisha msimbo wa ufikiaji…
Anza
Huna kompyuta zilizosajiliwa. Ili uwashe miunganisho ya mbali kwenye kompyuta, sakinisha Chromoting hapo na uofye “”.
Mwitiko
DOKEZO: Ili kuhakikisha kuwa mikato yote ya kibodi inapatikana, unaweza kusanidi Chromoting ili ‘Ifunguke kama dirisha’.
Kiteja kimeondolewa: .
Ufikiaji
Mpangishi wa Kompyuta
ya Mbali ya Chrome
Kubali na Usakinishe
Onyesha mwonekano wa Cardboard
Kipengele kinachohitajika kimeacha kufanya kazi. Tafadhali ripoti tatizo hili kwa wasanidi programu.
Kipindi chako cha Chromoting kimekamilika.
Historia ya Muunganisho
Uidhinishaji haujafaulu. Tafadhali ingia kwenye Chrome tena.
Programu inafanya kazi polepole sana.
Huna ruhusua ya kutekeleza hatua hiyo.
Tenganisha
Tafadhali ingiza PIN yako ya .
Mpangishi
Tuma PrtScn
inasubiri muunganisho…
Kubali
Ninatatizwa na kibodi au kipanya changu.
Kwa kupakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Kuwasiliana na Mifumo Tofauti kutoka Mbali, unakubaliana na Sheria na Masharti ya Google.
(nje ya mtandao)
Seva pangishi ya mbali inakuhitaji uhalalishe hadi kwenye tovuti nyingine. Ili kuendelea, sharti uipe Chrome Remote Desktop idhini za ziada ili ifikie anwani hii:
Tafadhali ingiza PIN ile ile katika vikasha vyote viwili.
Fungua droo ya kusogeza
Kitambulisho cha seva pangishi si sahihi.
Maelezo haya yanatumika tu kwa kutambua tatizo unaloripoti, yanapatikana tu kwa mtu anayechunguza ripoti yako, na yanahifadhiwa kwa siku zisizozidi 30.
Ondoka
Kuondoka kwenye ukurasa huu kutakamilisha kipindi chako cha Eneo-kazi la Mbali la Chrome.
Unganisha
Mwombe mtumiaji wa kompyuta unayotaka kufikia abofye “” na akupe nambari ya kuthibitisha ya idhini ya kufikia.
Eneo-kazi la Mbali la Chrome hukuruhusu kushiriki kompyuta yako kwa usalama kwenye Wavuti. Watumiaji wote wawili lazima wawe na programu ya Eneo-kazi la Mbali la Chrome, inayoweza kupatikana katika .
Kwa Mac (OS X 10.6 na matoleo ya baadaye)
Kiondoa Seva Pangishi ya Kompyuta ya Mbali cha Chrome
Haikuweza kuweka upya programu. Bado unaweza kutuma ripoti ya hitilafu.
Pangishi imezima.
Ondoa sasa
Tuma
Huduma haipatikani kwa muda. Tafadhali jaribu tena baadaye.
PIN
Kwenye kompyuta hii
Fikia kompyuta zingine au uruhusu mtumiaji mwingine kufikia kompyuta yako kwa usalama kwenye Intaneti.
Umeunganishwa:
Kwa sasa kompyuta yako inashirikiwa na .
Tarehe ya kuoanisha
Unganisha upya
Kwa nini hii ni salama?
Dirisha jipya...
Mtandaoni.
Mapendeleo ya Seva Pangishi ya Kompyuta ya Mbali ya Chrome
Chromoting hukuruhusu kushiriki kompyuta yako kwa usalama kwenye Wavuti. Watumiaji wote wawili lazima wawe wakiendesha programu ya Chromoting, inayoweza kupatikana katika .
Funga
Seva pangishi haikufaulu kuanzisha.
Vitufe vya kutuma
Huduma ya Kompyuta ya Mbali ya Chrome
Utiririshaji wa Programu ya Chrome
Siwezi kufungua faili zangu za Hifadhi ya Google.
Mpangishi wa ujumbe halisi kwa usaidizi wa mbali
Unganisha kwenye
Badilisha PIN
(imepitwa na wakati)
Hujaingia kwenye Chrome. Tafadhali ingia na ujaribu tena.
Seva pangishi inayotumika kwenye skrini ya dashibodi imezima ili kutumia hali ya pazia kwa kubadilisha hadi seva pangishi inayotumika katika kipindi mahususi cha mtumiaji.
Akaunti
Kiteja
Umewasha kipengee cha hali ya kujumuisha Google Cardboard. Ili utumie hali hii, weka kifaa chako katika mwonekano unaotumika kwenye Google Cardboard.
Kitu kingine.
Ondoka kwenye Skrini nzima
Ujumuishaji wa eneo-kazi hautumiki kwenye mfumo huu. Bado unaweza kutumia programu, lakini hali ya mtumiaji itaharibiwa.
PIN ya kompyuta hii inasasishwa...
Shiriki
Kumbukumbu za programu zinaweza kujumisha maelezo ya faragha, ikiwemo utambulisho wako (anwani ya barua pepe) na majina na mipangilio ya faili na folda katika Hifadhi ya Google.
Ripoti tatizo...
Chaguo
Weka upya programu. Utapoteza kazi yoyote ambayo haijahifadhiwa.
Tuma Ctrl-Alt-Del
mara ya mwisho mtandaoni
PIN yako imesasishwa.
Hakimiliki 2013 Google Inc. Haki Zote Zimehifadhiwa.
Futa historia
Kutoka
Seva pangishi ya mtumiaji: Imeanza.
Tazama/badilisha
Muda
Onyesha/ficha kibodi.
Rejesha dirisha
Kwa Windows (XP na matoleo ya baadaye)
Sawa
Una uhakika kuwa unataka kufunga miunganisho ya mbali kwa ? Ukibadilisha nia, utahitajika kutembelea kompyuta hiyo ili uwashe miunganisho upya.
Kwa
Anza Kurekodi
Hitilafu ya seva pangishi isiyotambulika: .
Usaidizi wa Mbali
Tusaidie kuboresha Chromoting kwa kuturuhusu tukusanye takwimu za matumizi na ripoti za hitilafu.
Haikuunganisha kwenye kifaa kinachorusha midia.
Jaribu tena
Programu ya kupeleka amri kwa mpangishi wa kompyuta ya mbali kwenye Chrome.
Tafadhali ingiza PIN iliyo na tarakimu sita au zaidi.
Seva pangishi iko nje ya mtandao.
Acha Kushiriki
Eneo-kazi la Mbali la Chrome
Kiteja kimenyimwa idhini ya kufikia: .
Kiteja kimeunganishwa: .
Washa miunganisho ya mbali
Usaidizi
Ghairi
Ongeza akaunti
Miunganisho ya mbali ya kompyuta hii imefungwa.
Onyesha upya orodha ya seva pangishi
Tafadhali kagua mipangilio ya usimamizi wa nishati wa kompyuta yako na uhakikishe kuwa haijasanidiwa kulala inapokuwa haifanyi kitu.
Onyesha takwimu (muunganisho: )
Baadhi ya vipengele vinavyohitajika havipo. Tafadhali hakikisha kuwa unatumia toleo jipya la Chrome na ujaribu tena.
Tafadhali weka PIN yako ya kompyuta ya mbali.
Huna ruhusa ya kuendesha programu hii.
Chaguo za skrini
Uidhinishaji haujafaulu. Tafadhali ingia kwenye Chromium tena.
Kipindi cha mbali kimekwisha muda.
Kwa kupakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Programu ya Chrome ya Ufikiaji wa Kompyuta kutoka Mbali, unakubaliana na Sheria na Masharti ya Google.
Ili kutumia Chrome ya Kompyuta ya Mbali, itabidi uongeze Akaunti ya Google kwenye kifaa chako.
Seva pangishi ya mbali inakuhitaji uhalalishe hadi kwenye tovuti nyingine. Ili kuendelea, sharti uipe Chromoting idhini za ziada ili ifikie anwani hii:
Kompyuta Zangu
Fikia kompyuta yako mwenyewe kutoka mahali popote.
Hitilafu ya mtandao imetokea. Tafadhali hakikisha kwamba kifaa chako kipo mtandoani na ujaribu tena.
Kushiriki skrini kwa mtumiaji hadi mtumiaji, ni bora kwa msaada wa kiufundi wa mbali.
Hakimiliki 2013 Waandishi wa Chromium. Haki Zote zimehifadhiwa.
Ili kuturuhusu kuwasiliana nawe kwa maelezo zaidi, anwani yako ya barua pepe itajumuishwa katika maoni yoyote unayowasilisha.
Pata maelezo ya jinsi ya.
Futa
Msimbo huu wa ufikiji utaisha muda baada ya
Jumuisha kumbukumbu za programu ili kutusaidia kutatua tatizo lako (kumbukumbu zinaweza kujumuisha maelezo ya binafsi).
Kutoka kwenye kompyuta hii
Ili Kutumia Chrome ya mbali, itabidi uongeze Akaunti ya Google kwenye kifaa chako.
Seva pangishi imesanidiwa pamoja na kitambulisho cha OAuth ambacho si sahihi.
Angalia katika Duka la Google Play
Mchakato wa Muingiliano wa Eneo-kazi
Mpangishi wa ujumbe halisi kwa usimamizi wa mpangishi wa mbali
Skrini nzima
Mwanzoni uliingia katika akaunti kama (). Ili kufikia kompyuta zako katika akaunti hiyo, ingia katika Google Chrome kwa akaunti hiyo na usakinishe tena Kompyuta ya Mbali kwenye Chrome.
Wastani
Siwezi kuona faili zangu zilizohifadhiwa mtandaoni katika Hifadhi ya Google.
Pata maelezo zaidi.
Pakua Kisakinishaji cha Seva Pangishi ya Kuwasiliana na Mifumo Tofauti kutoka Mbali
Mzuri
Ili uwashe miunganisho ya mbali kwenye kompyuta tofauti, sakinisha Chromoting hapo na ubofye “”.
Kidhibiti cha Seva Pangishi ya Kompyuta ya Mbali ya Chrome
Hata hivyo unganisha
Zidisha dirisha
Usiulize PIN tena unapounganisha kwenye seva pangishi kutoka kwenye kifaa hiki.
Ili uanze kushiriki enezo-kazi lako, toa msimbo wa ufikiji hapa chini kwa mtu atakayekuwa akikusaidia.
Idhinisha
Usanidi wa seva pangishi si sahihi.
Kataa
Kompyuta ya Mbali ya Chrome kwenye imepitwa na wakati na inahitaji kusasishwa.
Waandishi wa Chromium
(mara ya mwisho mtandaoni )