summaryrefslogtreecommitdiffstats
path: root/chrome/app/resources/chromium_strings_sw.xtb
blob: e65321ee95f3c85ab48d797a39c38692a2411da9 (plain)
1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
56
57
58
59
60
61
62
63
64
65
66
67
68
69
70
71
72
73
74
75
76
77
78
79
80
81
82
83
84
85
86
87
88
89
90
91
92
93
94
95
96
97
98
99
100
101
102
103
104
105
106
107
108
109
110
111
112
113
114
115
116
117
118
119
120
121
122
123
124
125
126
127
128
129
130
131
132
133
134
135
136
137
138
139
140
141
142
143
144
145
146
147
148
149
150
151
152
153
154
155
156
157
158
159
160
161
162
163
164
165
166
167
168
169
170
171
172
173
174
175
176
177
178
179
180
181
182
183
184
185
186
187
188
189
190
191
192
193
194
195
196
197
198
199
200
201
202
203
204
205
206
207
208
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="6676384891291319759">Fika kwenye wavuti</translation>
<translation id="6373523479360886564">Je, una hakika unataka kusanidua Chromium?</translation>
<translation id="6510925080656968729">Sanidua Chromium</translation>
<translation id="6893813176749746474">Chromium imesasishwa, lakini hujaitumia angalau kwa siku 30.</translation>
<translation id="2770231113462710648">Badilisha kivinjari chaguo msingi kiwe:</translation>
<translation id="6613594504749178791">Mabadiliko yako yataanza kufanya kazi wakati ujao utakapozindua upya Chromium.</translation>
<translation id="3748537968684000502">Unatazama ukurasa salama wa Chromium.</translation>
<translation id="8971920611044657379">Fremu ya Chromium</translation>
<translation id="1065672644894730302">Mapendeleo yako hayawezi kusomwa.

Baadhi ya vipengele huenda visipatikane na mabadiliko katika mapendeleo hayatahifadhiwa.</translation>
<translation id="4222661289444749267">Sasisho ya Fremu za Chromium.</translation>
<translation id="2843244238218937196">Kionyeshi cha Chromium</translation>
<translation id="7128196614940529818">Fremu ya Chromium tayari imesakinishwa na inapatikana kwa watumiaji wote wa kompyuta hii. Ukitaka kusakinisha Fremu ya Chromium katika kiwango cha mtumiaji, lazima kwanza usakinushe toleo la kiwango cha mfumo lililosanidiwa na msimamizi.</translation>
<translation id="731644333568559921">Sasisha Chromium OS</translation>
<translation id="7421823331379285070">Chromium inahitaji Windows XP au toleo la awali. Huenda vipengele vingine visifanye kazi.</translation>
<translation id="4330297532943865716">Usakinishajii unaogongana wa Chromium au Fremu ya Chromium ulipatikana kwenye mfumo. Tafadhali usanidue na ujaribu tena.</translation>
<translation id="6953661834318318668">Upauzana wa Chromium</translation>
<translation id="7097100943370017396">Chromium haisasishi tena kwa sababu mfumo wako wa uendeshaji umepitwa na wakati.</translation>
<translation id="4285930937574705105">Usanidi umeshindwa kwa sababu ya hitilafu isiyojulikana. Ikiwa Chromium inaendesha sasa, tafadhali ifunge na ujaribu tena.</translation>
<translation id="2589479092236095792">Mipangilio ya Mjazo Otomatiki ya Chromium</translation>
<translation id="3555616473548901994">Kusanidua kumekamilika.</translation>
<translation id="3674409928058572366">Mpangishaji wa Programu ya Chromium</translation>
<translation id="2886012850691518054">Hiari: Saidia kuboresha Chromium kwa kutuma takwimu za matumizi na ripoti za uharibifu kiotomatiki kwa Google.</translation>
<translation id="3848258323044014972"><ph name="PAGE_TITLE"/> - Chromium</translation>
<translation id="1989424089625731201">Ulijaribu kufika &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt;, lakini cheti ambacho seva iliwasilisha kina hitilafu. Chromium haiwezi kutumia cheti kilicho na hitilafu na haiwezi kuhalalisha utambulisho wa tovuti ambayo umejaribu kuunganisha.</translation>
<translation id="3103660991484857065">Kisakinishi kilishindwa kufinyuza kumbukumbu. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="872034308864968620">Acha Chromium Iendelee Katika Madnarinyuma</translation>
<translation id="5109068449432240255">Ndiyo, ondoka Chromium</translation>
<translation id="4320129595801648679">Ukurasa Mpya wa Kichupo wa Chromium umeundwa upya. Badilisha kutoka sehemu moja hadi nyingine kwa kubofya lebo hizi. Chromium itakumbuka mapendeleo yako ya wakati ujao.</translation>
<translation id="3032787606318309379">Inaongeza kwenye Chromium...</translation>
<translation id="4207043877577553402"><ph name="BEGIN_BOLD"/>Ilani:<ph name="END_BOLD"/> Chromium haiwezi kuzuia viendelezi kurekodi historia yako ya kuvinjari. Ili kulemaza kiendelezi hiki katika modi ya chini kwa chini, ondoa tiki kwenye chaguo hili.</translation>
<translation id="985602178874221306">Waandishi wa Chromium</translation>
<translation id="8628626585870903697">Chromium haijumuishi kitazamaji cha PDF kinachohitajika ili Uhakiki wa Uchapishaji ufanye kazi.</translation>
<translation id="7138853919861947730">Huenda Chromium ikatumia huduma za wavuti kuboresha utumizi wako wa kuvinjari.</translation>
<translation id="466053073629175099">Sasa umeingia katika Chromium! Alamisho zako, historia, na mipangilio mingine italandanishwa kwenye Akunti yako ya Google.</translation>
<translation id="4179848566211676653">Toka kwenye Chromium</translation>
<translation id="3849925841547750267">Cha kusikitisha, mipangilio yako ya Mozilla Firefox haipatikani kivinjari hicho kinapoendesha. Ili kuleta mipangilio hiyo kwenye Chromium, hifadhi kazi yako na ufunge madirisha yote ya Firefox. Kisha bofya Endelea.</translation>
<translation id="7771626876550251690">Katika hali hii, anwani iliyoorodheshwa katika cheti hailingani na anwani ya tovuti ambayo kivinjari chako kilijaribu kwenda kwacho. Sababu moja inayowezekana kwa jambo hili ni kwamba mawasiliano yako yanakatizwa na mshambulizi anayewasilisha cheti cha  tovuti tofauti, kinachoweza kusababisha kutolingana. Sabau nyingine inayowezekana ni kuwa seva imesanidiwa kurejesha cheti kicho hicho kwenye tovuti mbalimbali, ikiwa ni pamoja na ile unayojaribu kutembelea, hata ingawa cheti hicho si halali kwa tovuti hizo zote. Chromium inaweza kusema kuwa kwa kweli ulifika &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN2"/>&lt;/strong&gt;, lakini haiwezi kuthibitisha kuwa hiyo ni tovuti sawa na &lt;strong&gt;<ph name="DOMAIN"/>&lt;/strong&gt; uliyonuia kufikia. Ukiendelea, Chromium haitakagua kutolingana kokote zaidi kwa jina.</translation>
<translation id="2401271577450445716">Nenda kwenye
          <ph name="BEGIN_BOLD"/>
          menyu ya Chromium &gt;
          <ph name="SETTINGS_TITLE"/>
          &gt;
          <ph name="ADVANCED_TITLE"/>
          &gt;
          <ph name="PROXIES_TITLE"/>
          &gt;
          Mipangilio ya LAN
          <ph name="END_BOLD"/>
          na uondoe tiki &quot;Tumia seva ya proksi kwa kikasha kaguzi chako cha LAN&quot;.</translation>
<translation id="4330585738697551178">Kijenzi hiki kinajulikana kwa kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="3190315855212034486">Lo! Chromium imevurugika. Unataka kuzindua upya sasa?</translation>
<translation id="6714487516757221107">Hakuna usakinishaji wa Chromium au Fremu ya Chromium ulipatikana kusasishwa.</translation>
<translation id="3197823471738295152">Kifaa chako kimesasishwa.</translation>
<translation id="8551886023433311834">Inakaribia kusasishwa! Anzisha kifaa chako upya kifaa ili kukamilisha kusasisha.</translation>
<translation id="8353224596138547809">Je, unataka Chromium ihifadhi nenosiri lako kwa tovuti hii?</translation>
<translation id="3026202950002788510">Nenda kwenye
          <ph name="BEGIN_BOLD"/>
          Programu &gt; Mapendeleo ya Mfumo &gt; Mtandao &gt; Mahiri &gt; Proksi
          <ph name="END_BOLD"/>
          na uondoe tiki kwenye proksi zozote ambazo zimechaguliwa.</translation>
<translation id="4124681358536363708">Saraka ya usakinishaji wa Chromium inaonekana inatumika. Tafadhali washa upya na ujaribu tena.</translation>
<translation id="8770560772173120024">Chromium sasa inaleta Vipendwa/Vialamisho.</translation>
<translation id="225614027745146050">Karibu</translation>
<translation id="9191268552238695869">Msimamizi amesakinisha Chromium kwenye mfumo, na inapatikana kwa watumiaji wote. Chromium ya kiwango cha mfumo itabadilisha usakinishaji wa kiwango cha mtumiaji sasa.</translation>
<translation id="3509308970982693815">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="4077262827416206768">Tafadhali funga madirisha yote ya Chromium na uizindue upya Chromium ili mabadiliko haya yaanze kufanya kazi.</translation>
<translation id="9119843944749246249">Hakimiliki © 2006-2012 Waandishi wa Chromium. Haki Zote Zimehifadhiwa.</translation>
<translation id="6944967875980567883">Vipengee vilivyopakiwa kwenye Chromium</translation>
<translation id="118298050220780080">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti kilichotolewa na chombo kisichoaminika na mfumo wa uendeshaji wa kompyuta yako. Huku kunaweza kumaanisha kuwa seva hiyo imeunda stakabadhi zake za usalama, ambayo Chromium haiwezi kutegemea kwa maelezo ya utambulisho, au huenda mshambulizi anajaribu kuingilia mawasiliano yako.</translation>
<translation id="4561681684759837226"><ph name="PAGE_TITLE"/></translation>
<translation id="3296368748942286671">Endelea kuendesha programu za mandharinyuma wakati Chromium imefungwa</translation>
<translation id="473775607612524610">Sasisha</translation>
<translation id="6055895534982063517">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana, na ni la kasi kuliko la awali.</translation>
<translation id="2407806170074302369">Kuhusu Fremu za Chromium...</translation>
<translation id="5405650547142096840">Ondoa kutoka kwenye Chromium</translation>
<translation id="7747138024166251722">Kisakinishi hakikuweza kuunda saraka la muda. Tafadhali chunguza nafasi iliyo wazi kwenye diski na ruhusa ya kusakinisha programu.</translation>
<translation id="3258596308407688501">Chromium haiwezi kusoma na kuandika kwenye saraka yake ya data:

<ph name="USER_DATA_DIRECTORY"/></translation>
<translation id="4932687624772039103">Chromium haihimili <ph name="OS_NAME"/>.</translation>
<translation id="8738921060445980047">Toleo lisilojulikana.</translation>
<translation id="6970811910055250180">Inasasisha kifaa chako...</translation>
<translation id="2485422356828889247">Ondoa</translation>
<translation id="85843667276690461">Pata msaada kwa kutumia Chromium</translation>
<translation id="263863604136125912">Anzisha Chromium</translation>
<translation id="2881203820889150661">Chromium haiwezi kuunda njia mkato ya programu kwa sababu haiwezi kuthibitisha mazingira ya sasa ya eneokazi.</translation>
<translation id="4886158514168859177">Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Fremu ya Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Fremu ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="911206726377975832">Futa historia yako ya kuvinjari pia?</translation>
<translation id="6734080038664603509">Sasisha &amp;Chromium</translation>
<translation id="8862326446509486874">Huna haki zifaazo ili kufanya usakinishaji wa kiwango cha mfumo. Jaribu kutumia kisakinishi kama msimamiaji kompyuta.</translation>
<translation id="1774152462503052664">Acha Chromium iendeshe katika mandharinyuma</translation>
<translation id="9022552996538154597">Ingia kwenye Chromium</translation>
<translation id="4365115785552740256">Chromium imerahisishwa na mradi wa programu huria ya <ph name="BEGIN_LINK_CHROMIUM"/>Chromium<ph name="END_LINK_CHROMIUM"/> na programu nyingine <ph name="BEGIN_LINK_OSS"/>huria<ph name="END_LINK_OSS"/>.</translation>
<translation id="6248213926982192922">Fanya Chromium kuwa kivinjari chaguo-msingi</translation>
<translation id="7337881442233988129">Chromium</translation>
<translation id="3069161343438701711">Kifanyakazi cha Chromium</translation>
<translation id="5820394555380036790">Chromium OS</translation>
<translation id="6757767188268205357">Usinisumbue</translation>
<translation id="7294284502435423183">Jaribu kulemaza utabiri wa mtandao kwa kufuata hatua hizi:
        Nenda kwenye
        <ph name="BEGIN_BOLD"/>
        menyu ya Chromium &gt;
        <ph name="SETTINGS_TITLE"/>
        &gt;
        <ph name="ADVANCED_TITLE"/>
        <ph name="END_BOLD"/>
        na uchague &quot;<ph name="NO_PREFETCH_DESCRIPTION"/>.&quot;
        Ikiwa hii haitasuluhisha tatizo, tunapendekeza kuchagua chaguo hili tena kwa utendajikazi ulioboreshwa.</translation>
<translation id="275588974610408078">Kuripoti uharibifu hakupatikana katika Chromium.</translation>
<translation id="5909170354645388250">Haitumiki katika Chromium. Kishika nafasi cha kuweka ramani za raslimali katika ulandanishaji. Inatarajia hoja moja: $1.</translation>
<translation id="3582788516608077514">Inasasisha Chromium...</translation>
<translation id="7223968959479464213">Kidhibiti Kazi - Chromium</translation>
<translation id="3838208658251026018">Chromium sasa inaleta vipengee vifuatavyo kutoka <ph name="BROWSER_COMPONENT"/>:</translation>
<translation id="6638567566961868659">Pata alamisho zako katika menyu ya Chromium au kwenye upau wa alamisho.</translation>
<translation id="2673087257647337101">Inakaribia kusasishwa! Anzisha Chromium upya ili kukamilisha kusasisha.</translation>
<translation id="5398878173008909840">Kuna toleo jipya la Chromium linalopatikana.</translation>
<translation id="2648074677641340862">Hitilafu ya mfumo wa uendeshaji ilitokea wakati wa usakinishaji. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="5942520288919337908"><ph name="EXTENSION_NAME"/> imeongezwa kwenye Chromium.</translation>
<translation id="8678787945719392857">Tumia Akaunti hii ya Google kulandanisha mambo yako yote ya Chromium?</translation>
<translation id="8621669128220841554">Usakinishaji ulishindwa kwa sababu ya hitilafu isiyobainika. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="6717134281241384636">Wasifu wako hauwezi kutumiwa kwa sababu umetoka katika toleo jipya la Chromium.

Baadhi ya vipengele huenda visipatikane. Tafadhali bainisha saraka tofauti ya wasifu au utumie toleo jipya la Chromium.</translation>
<translation id="2712549016134575851">Mgongano na programu nyingine iliyosanidiwa umetambuliwa.</translation>
<translation id="9013087743919948559">Ongeza kwenye Chromium</translation>
<translation id="6212496753309875659">Kompyuta hii tayari ina toleo la hivi punde la Chromium. Ikiwa programu haifanyikazi, tafadhali sanidua Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="3014684866565908571">Kitumizi cha Chromium</translation>
<translation id="1298199220304005244">Pata msaada unapotumia Chromium OS</translation>
<translation id="1691304614444223855">Fremu ya Chromium imesasishwa. Tafadhali zindua upya kivinjari chako. Toleo la Chromium: <ph name="TODO_0001"/>, Toleo la Fremu ya Chromium: <ph name="TODO_0002"/></translation>
<translation id="130631256467250065">Mabadiliko yako yatatekelezwa utakapowasha upya tena kifaa chako.</translation>
<translation id="1105130903706696483">Chromium haikuzimika vizuri. Ili kufungua upya kurasa zilizokuwa wazi, bofya Onyesha upya.</translation>
<translation id="1929939181775079593">Chromium haiamiliki. Zindua upya sasa?</translation>
<translation id="6089587093203430357">Papo hapo</translation>
<translation id="2966088006374919794">Chromium inahitaji kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
<translation id="8046283042877435986">Tovuti hii inapendekeza Fremu ya Chromium (tayari imesakinishwa).</translation>
<translation id="6287463253129672858">Haiwezi kusakinisha toleo lile lile la Fremu ya Chromium ambalo linaendesha kwa sasa. Tafadhali funga Fremu ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="2558235863893655150">Je, unataka Chrome ihifadhi nenosiri lako?</translation>
<translation id="3398522627033804247">Nenda kwenye
          <ph name="BEGIN_BOLD"/>
          menyu ya Chromium &gt;
          <ph name="SETTINGS_TITLE"/>
          &gt;
          <ph name="INTERNET_TITLE"/>
          &gt;
          &quot;<ph name="OPTIONS_BUTTON"/>&quot;
          <ph name="END_BOLD"/>
          (kwa Mtandao wa sasa). Ikiwa kitufe
          <ph name="BEGIN_BOLD"/>
          &quot;<ph name="PROXY_BUTTON"/>&quot;
          <ph name="END_BOLD"/> (katika kichupo
          <ph name="BEGIN_BOLD"/>
          <ph name="NETWORK_TAB"/>
          <ph name="END_BOLD"/>
          ) kipo, bofya kwacho na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye &quot;Moja kwa moja&quot;.</translation>
<translation id="1231416733874080281">Onyesha menyu ya Chromium</translation>
<translation id="1688750314291223739">Sanidi Ulandanishaji ili kuhifadhi vipengele vyako vilivyobinafsishwa vya kivinjari kwenye mtandao na uvifikie kutoka kwenye Chromium katika kompyuta yoyote</translation>
<translation id="9171640504251796339">http://www.google.com/support/chrome/bin/answer.py?hl=<ph name="GRITLANGCODE_1"/>&amp;answer=161796</translation>
<translation id="8865765905101981392">Kivinjari Wavuti</translation>
<translation id="6424492062988593837">Chromium imekuwa bora! Toleo jipya linapatikana.</translation>
<translation id="2910007522516064972">Kuhusu Chromium</translation>
<translation id="8453117565092476964">Kumbukumbu ya kisakinishi imeharibika au ni batili. Tafadhali pakua Chromium tena.</translation>
<translation id="2162026298602630383">Nenda kwenye
          <ph name="BEGIN_BOLD"/>
          menyu ya Chromium &gt;
          <ph name="SETTINGS_TITLE"/>
          &gt;
          <ph name="ADVANCED_TITLE"/>
          &gt;
          <ph name="PROXIES_TITLE"/>
          <ph name="END_BOLD"/>
          na uhakikishe kuwa usanidi wako umewekwa kwenye &quot;hakuna proksi&quot; au &quot;moja kwa moja.&quot;</translation>
<translation id="3249425904492147663">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti kilichochina. Hakuna maelezo yanayopatikana kuonyesha ikiwa cheti hicho kimeingiliwa tangu kuchina. Huku kunamaanisha kuwa Chromium haiwezi kuthibitisha kuwa unawasiliana na &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN2"/> &lt;/ strong&gt; na wala si mshambulizi. Saa ya kompyuta yako kwa sasa imewekwa kwenye <ph name="CURRENT_TIME"/> . Je, hiyo ni sawa? Ikiwa sivyo, unapaswa kurekebisha hitilafu na uonyeshe upya ukurasa huu.</translation>
<translation id="7196020411877309443">Ni kwa kwa nini ninaona hii?</translation>
<translation id="7483335560992089831">Haiwezi kusakinisha toleo sawia la Chromium ambalo linaendeshwa hivi sasa. Tafadhali funga Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="7641113255207688324">Chromium si kivinjari chako chaguo-msingi.</translation>
<translation id="4458285410772214805">Tafadhali toka na uingie tena ili mabadiliko haya yafanye kazi.</translation>
<translation id="2119636228670142020">Kuhusu Chromium OS</translation>
<translation id="1708666629004767631">Kuna toleo jipya, na salama linalopatikana la Chromium.</translation>
<translation id="8616882682724010661">Ona <ph name="BEGIN_LINK"/> faida zaidi <ph name="END_LINK"/> za kuingia katika Chromium.</translation>
<translation id="378917192836375108">Chromium hukuruhusu kubofya nambari ya simu kwenye wavuti na kuipiga kwa Skype.</translation>
<translation id="8724049448828509830">Upakuaji unaendelea kwa sasa. Je, unataka kuondoka kwenye Chromium na kughairi upakuaji?</translation>
<translation id="3360567213983886831">Chromium Binaries</translation>
<translation id="7503101070699687603">Mpangishaji wa Programu Jalizi wa Chromium</translation>
<translation id="2739631515503418643">Vipakuzi vinaendelea kwa sasa. Je, ungependa kutoka kwenye Chromium na ughairi vipakuzi?</translation>
<translation id="9013262824292842194">Chromium inahitaji Windows Vista au Windows XP iliyo na SP2 au zaidi.</translation>
<translation id="1967743265616885482">Kijenzi kilicho na jina sawa kimejulikana kuwa na ukinzani na Chromium.</translation>
<translation id="4224199872375172890">Chromium imesasishwa.</translation>
<translation id="374481098568514319">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya la hivi karibuni zaidi la vijenzi vya Chromium. Tafadhali tumia kisakinishi cha hivi karibuni zaidi.</translation>
<translation id="6240281849816458190">Ulijaribu kufikia &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN"/> &lt;/ strong&gt;, lakini seva iliwasilisha cheti ambacho bado si halali. Hakuna maelezo ya kuashiria ikiwa cheti hicho kinaweza kuaminika. Chromium haiwezi kutoa hakikisho kwamba unawasiliana na &lt;strong&gt; <ph name="DOMAIN2"/> &lt;/ strong&gt; wala sio mshambulizi. Saa ya kompyuta yako ya kwa sasa imewekwa <ph name="CURRENT_TIME"/> . Je, hilo ni sahihi? Ikiwa sivyo, unapaswa kusahihisha mfumo wako wa saa na kisha uonyeshe upya ukurasa huu.</translation>
<translation id="5498103559159810756">Chromium hutumia injini yako chaguo-msingi ya utafutaji, ambayo kwa sasa imewekwa kwenye <ph name="PAGE_TITLE"/>. Je, unataka kuhifadhi injini yako chaguo-msingi ya utafutaji?</translation>
<translation id="5862307444128926510">Karibu kwenye Chromium</translation>
<translation id="1622565934590470080">Kompyuta hii tayari ina toleo jipya zaidi la Fremu ya Chromium. Ikiwa programu haifanyi kazi, tafadhali sanidua Chromium na Fremu ya Chromium na ujaribu tena.</translation>
<translation id="7318036098707714271">Faili yako ya mapendeleo imeharibika au ni batili. 

Chromium haiwezi kufufua mipangilio yako.</translation>
<translation id="7123348595797445166">Ijaribu (tayari imesakinishwa)</translation>
<translation id="6403826409255603130">Chromium ni kivinjari cha wavuti kinachoendesha kurasa za wavuti na programu kwa kasi ya umeme. Ni ya haraka, imara, na rahisi kutumia. Vinjari wavuti kwa usalama zaidi dhidi ya hadaa na programu hasidi ukiwa na ulinzi uliojengwa ndani ya Chromium.</translation>
<translation id="2927042866129133279">Hoja batili. Fremu ya Chromium haiwezi kusakinishwa katika modi tayari bila pia kusakinisha Chromium.</translation>
<translation id="2572494885440352020">Kisaidizi cha Chromium</translation>
<translation id="442817494342774222">Chromium imesanidiwa ili kuanza moja kwa moja unapowasha kompyuta yako.</translation>
<translation id="8974095189086268230">Chromium OS imewezeshwa na programu za ziada za <ph name="BEGIN_LINK_CROS_OSS"/>programu huria<ph name="END_LINK_CROS_OSS"/>.</translation>
<translation id="1221340462641866827">Chromium OS haihimili kuzindua programu ya nje ili kushughulikia viungo vya <ph name="SCHEME"/>. Kiungo kilichoombwa ni <ph name="PROTOLINK"/>.</translation>
</translationbundle>