1
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
16
17
18
19
20
21
22
23
24
25
26
27
28
29
30
31
32
33
34
35
36
37
38
39
40
41
42
43
44
45
46
47
48
49
50
51
52
53
54
55
|
<?xml version="1.0" ?>
<!DOCTYPE translationbundle>
<translationbundle lang="sw">
<translation id="1008557486741366299">Sio Sasa</translation>
<translation id="1047726139967079566">Alamisha Ukurasa Huu...</translation>
<translation id="1172898394251786223">Sehemu inayofuata</translation>
<translation id="168328519870909584">Wavamizi walio kwenye <ph name="BEGIN_BOLD" /><ph name="SITE" /><ph name="END_BOLD" /> kwa sasa huenda wakajaribu kusakinisha programu hatari ambazo zinaiba au kufuta maelezo kwenye kifaa chako (kwa mfano, picha, manenosiri, ujumbe, na kadi za malipo).</translation>
<translation id="2320166752086256636">Ficha kibodi</translation>
<translation id="2467815441875554965">Kutafuta katika Muktadha</translation>
<translation id="2704606927547763573">Imenakiliwa</translation>
<translation id="2747003861858887689">Sehemu iliyotangulia</translation>
<translation id="2780046210906776326">Hakuna Akaunti za Barua pepe</translation>
<translation id="2803306138276472711">Mfumo wa Google wa Kuvinjari kwa Usalama {<ph name="BEGIN_LINK" />uligundua programu hasidi<ph name="END_LINK" /> kwenye <ph name="SITE" /> hivi karibuni. Tovuti ambazo kwa kawaida huwa salama wakati mwingine huathiriwa na programu hasidi.</translation>
<translation id="3244271242291266297">MW</translation>
<translation id="3252394070589632019"><ph name="VALUE" />, <ph name="ADDITIONAL_INFO" />, <ph name="INDEX" /> kati ya <ph name="NUM_SUGGESTIONS" /></translation>
<translation id="3335947283844343239">Fungua Tena Kichupo Kilichofugwa</translation>
<translation id="3414292259312108062">Chrome itahifadhi hili katika <ph name="BEGIN_LINK" />manenosiri yako yaliyohifadhiwa na Google<ph name="END_LINK" /> na kukujazia kiotomatiki ili usihitaji kulikumbuka.</translation>
<translation id="3567664240939803299">Je, ungependa Google Smart Lock ihifadhi nenosiri lako kwa ajili ya tovuti hii?</translation>
<translation id="3586931643579894722">Ficha maelezo</translation>
<translation id="3736520371357197498">Ikiwa unaelewa kiwango cha hatari kinachoweza kutokea, unaweza <ph name="BEGIN_LINK" />kutembelea tovuti hii isiyo salama<ph name="END_LINK" /> kabla programu hatari hazijaondolewa.</translation>
<translation id="385051799172605136">Nyuma</translation>
<translation id="4098354747657067197">Kuna tovuti danganyifu mbele</translation>
<translation id="4121993058175073134">Ili kutuma data ya uhamishaji nje ya mtandao, tafadhali sanidi akaunti yako ya barua pepe katika programu ya Mipangilio.</translation>
<translation id="4399225372525667111">Chrome haiwezi kuthibitisha kuwa URL ya tovuti hii ni sahihi.</translation>
<translation id="4522570452068850558">Maelezo</translation>
<translation id="4728558894243024398">Mfumo wa uendeshaji</translation>
<translation id="473775607612524610">Sasisha</translation>
<translation id="5317780077021120954">Hifadhi</translation>
<translation id="5337705430875057403">Huenda wavamizi kwenye <ph name="BEGIN_BOLD" /><ph name="SITE" /><ph name="END_BOLD" /> wakakulaghai ili ufanye kitu hatari kama vile kusakinisha programu au kuonyesha maelezo yako ya kibinafsi (kwa mfano, manenosiri, nambari za simu, au kadi za mikopo).</translation>
<translation id="605721222689873409">MK</translation>
<translation id="6075880972317537864">Wavamizi kwenye <ph name="BEGIN_BOLD" /><ph name="SITE" /><ph name="END_BOLD" /> huenda wakajaribu kukulaghai ili waibe maelezo yako (kwa mfano, manenosiri, ujumbe, au kadi za mkopo).</translation>
<translation id="6149061208933997199">Tumia Nenosiri</translation>
<translation id="6196207969502475924">Utafutaji wa Sauti</translation>
<translation id="6221345481584921695">Mfumo wa Google wa Kuvinjari kwa Usalama <ph name="BEGIN_LINK" />uligundua programu hasidi<ph name="END_LINK" /> kwenye <ph name="SITE" /> hivi karibuni. Tovuti ambazo kwa kawaida huwa salama wakati mwingine huathiriwa na programu hasidi. Maudhui hasidi hutoka kwa <ph name="SUBRESOURCE_HOST" />, msambazaji wa programu hasidi anayejulikana.</translation>
<translation id="6264485186158353794">Rejea kwenye usalama</translation>
<translation id="6314335155547195432">Unda Nenosiri</translation>
<translation id="6344783595350022745">Futa Matini</translation>
<translation id="6456425917241817154">Nenosiri Lililoundwa na Chrome</translation>
<translation id="6535543971741225613">Tovuti unayojaribu kufikia inaonekana si ya kawaida, na Chrome haiwezi kuthibitisha iwapo URL yake ni sahihi. Kwa sababu za usalama, hustahili kuendelea, labda ujaribu tena kesho au uende kwingine.</translation>
<translation id="6740369132746915122">Ikiwa unaelewa kiwango cha hatari kinachoweza kutokea, unaweza <ph name="BEGIN_LINK" />kutembelea tovuti hii isiyo salama<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="7222245588540287464">Iwapo Kutafuta katika Muktadha kumewashwa au la</translation>
<translation id="724691107663265825">Tovuti iliyo mbele ina programu hasidi</translation>
<translation id="7456847797759667638">Fungua Mahali...</translation>
<translation id="7481312909269577407">Mbele</translation>
<translation id="7484580869648358686">Onyo: Kuna Tatizo Limetokea Hapa!</translation>
<translation id="7779249319235708104">Uvamizi wa kuhadaa ili kupata maelezo ya kibinafsi upo</translation>
<translation id="7961015016161918242">Katu</translation>
<translation id="820854170120587500">Mfumo wa Kuvinjari Salama kwenye Google uligundua jaribio la kuhadaa ili kupata maelezo ya kibinafsi kwenye <ph name="SITE" /> hivi karibuni. <ph name="BEGIN_LINK" />Tovuti za kuhadaa ili kupata maelezo ya kibinafsi<ph name="END_LINK" /> hujifanya kuwa tovuti nyingine unayoijua ili kukulaghai.</translation>
<translation id="834457929814110454">Ikiwa unaelewa hatari kwa usalama wako, unaweza <ph name="BEGIN_LINK" />kutembelea tovuti hii<ph name="END_LINK" /> kabla programu hatari hazijaondolewa.</translation>
<translation id="8543181531796978784">Unaweza <ph name="BEGIN_ERROR_LINK" />kuripoti tatizo la ugunduzi<ph name="END_ERROR_LINK" /> au, ikiwa unaelewa kiwango cha hatari kinachoweza kutokea, <ph name="BEGIN_LINK" />tembelea tovuti hii isiyo salama<ph name="END_LINK" />.</translation>
<translation id="8761567432415473239">Kuvinjari Salama kwa Google <ph name="BEGIN_LINK" />kulipata programu zinazodhuru<ph name="END_LINK" /> kwenye <ph name="SITE" /> hivi karibuni.</translation>
<translation id="8996941253935762404">Tovuti iliyo mbele ina programu zinazodhuru</translation>
<translation id="9035022520814077154">Hitilafu ya usalama</translation>
<translation id="9040185888511745258">Wavamizi kwenye <ph name="BEGIN_BOLD" /><ph name="SITE" /><ph name="END_BOLD" /> huenda wakajaribu kukulaghai ili kusakinisha programu zinazodhuru hali yako ya kuvinjari (kwa mfano, kwa kubadilisha ukurasa wako wa mwanzo au kuonyesha matangazo ya ziada kwenye tovuti unazotembelea).</translation>
</translationbundle>
|